Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Hapa DSM angalia mashoga wengi wanatoka wapi .

Mfano mtoto anayezaliwa Temeke na mtoto anayezaliwa Kinondoni .

Mtoto wa kiume wa kinondoni ni rahisi kuwa gay kuliko wa Temeke .


Hii ni factor ambayo IPO catalyst na mazingira .

Kuwa na hormone imbalance haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na kuwa shoga .

Mfano

Ukipata upara (Ballads ) ukiwa na umri wa 18-22 hii inaweza kuwa imechangia na hormone imbalance.

Ukiwa na sauti ya kike ndogo hii inaweza kuwa hormones imbalance

Kuwa na Mwonekano mfano makalio Makubwa , kifua na kuota maziwa hii ni hormone imbalance.

Kushindwa kuota ndevu hii pia ni hormones imbalance.

So kuna wanawake wapo flat screen ukimtaza akiwa amevaa suruali hauwezi kujua Kama ni KE au ME

Sauti nzito Kama alivyo zuchu n.k zote ni hormones imbalance.

Kwahiyo kuwa shoga inachagazwa na mindset ,mentality na mazingira .
Asipoelewa hapa, hawezi elewa tena.
Mjadala ufungwee.
 
Unawajua Ladyboy?
Shemale?

Na wenyewe ni saikologia?
Mkuu, Kuwa makini sana na unachosoma, kusikiliza au kutazama mitandaoni.

Hakuna kitu kinachotokana na nature chenye hayo majina.

Kuna hali ya hitilafu ambayo binadamu anaweza zaliwa nayo "intersex" ambapo inakuwa haijulikani huyu ni mtoto wa kiume au wa kike. Madaktari wanajua jinsi ya kudeal na hii hali na akiachwa akakua organ moja hubypass nyingine.

Hakuna wakati wowote kibiolojia mwanaume atakuwa shemale au ladyboy, hizi ni kazi za wanadamu zinazotokana na saikolojia.
 
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.

Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?
Kuna siku alikuja kukuomba chakula? Wewe una kazi gani Hadi unauliza kazi ya mwanaume mwenzio?
 
Hapa DSM angalia mashoga wengi wanatoka wapi .

Mfano mtoto anayezaliwa Temeke na mtoto anayezaliwa Kinondoni .

Mtoto wa kiume wa kinondoni ni rahisi kuwa gay kuliko wa Temeke .


Hii ni factor ambayo IPO catalyst na mazingira .

Kuwa na hormone imbalance haina uhusiano wowote wa moja kwa moja na kuwa shoga .

Mfano

Ukipata upara (Ballads ) ukiwa na umri wa 18-22 hii inaweza kuwa imechangia na hormone imbalance.

Ukiwa na sauti ya kike ndogo hii inaweza kuwa hormones imbalance

Kuwa na Mwonekano mfano makalio Makubwa , kifua na kuota maziwa hii ni hormone imbalance.

Kushindwa kuota ndevu hii pia ni hormones imbalance.

So kuna wanawake wapo flat screen ukimtaza akiwa amevaa suruali hauwezi kujua Kama ni KE au ME

Sauti nzito Kama alivyo zuchu n.k zote ni hormones imbalance.

Kwahiyo kuwa shoga inachagazwa na mindset ,mentality na mazingira .
Yeyote anayesema ushoga ni biolojia asipoelewa hapa kuna shida ingine mahali.
 
Nafikiri huyo jamaa ni balozi wa movement fulani ya Lilian Mwasha inayotoa maudhui ya malezi,vijana wenye risk behaviour ku-reform kama hivyo na kusukuma injili

Huyo Aggrey naona akialikwa mihadhara mingi ambayo huko lazima apate posho zake lakini pia inaonekana wamepata wadau wengi na taasisi zenye nguvu kusapoti hiyo movement yao kwa hiyo there's something good to the future

Dunia ina mapito mengi kwa hiyo hata huyo mchumba wake huenda naye amereform kutoka tatizo kubwa na wameunganisha nguvu kuionesha jamii kwamba you can reform and start over!

Kama nachofikiri ni sawa huenda basi wakawatia moyo vijana wengi walioshika njia mbaya ambao pengine hawaamini kwamba wanaweza kubadilika na kuanza upya!
 
Mwanaume ukishafirwa tu ni kilema cha maisha. Nadhani pia mishipa ya kwenye ass huwa iko integrated na ubongo wakishaiharibu unakuta kichwani mtu hayuko sawa.
 
Tukubali kutokubaliana.
😂😂😂

Mm nimesoma na Shoga, A level .
Shule ya Kiume.
Sasahiv ameolewa anaishi na mwanaume ndan. Apartment.

Yule jamaa hakuwa na uanaume kabisa
Ana shida kubwa mno ya akili. Anyway, mwisho wa siku atazeeka na ataitwa babu sio bibi.
 
Ndio nani huyo mtu?
Huyu alikuwa shoga maarufu hapa Dar, ameacha tabia hiyo na akamgeukia Mungu, akaenda mbali zaidi kwa kusema anataka kuwa mtumishi wa Mungu wa kanisa la kilokole (ingawa walokole walikuwa wanawaponda Wakatoliki kwa msimamo wao wa kuwapenda watu wote bila kujali dhambi zao)
 
Back
Top Bottom