cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Unataka uthibitisho. Real?Sio hatutak thibitisha!
Unataka uthibitisho. Real?Sio hatutak thibitisha!
Mashoga wana hormones za kike hata wewe unazo kama ni me Ila kwa percent ndogo!Shemale google ujionee, au nenda Malyasia,
Kuna Ladyboy
And thats genetic .
Na yote uliyoongea hapa ni kuwa Mtu anazaliwa akijisikia mwanamke.
Hormones
Hoja yako ya tatu ni kuwa hormones hazitoshelezi kwahiyo anapewa zitoshe awe mwanamke kamili.
It's hormones pia
Sasa utasemaje mashoga kuwa hawana hormones za kike?
Thibitisha.Unataka uthibitisho. Real?
wewe kuwa nao karibu ndo wachaga wanaongoza kuwa gays ? au unaowafahamu ?Woiiiiih! Kumbe kuhusu wachaga kuwa gays.
Sio utafiti, ni niko nao karibu, sema nikusogezee uwafahamu. Km unataka kuhakikisha hilo.
Taratibu mkuu, tutafika huko.Hoja sio njia ya haja Kubwa.
Hoja ni kuwa kuna watu wanazaliwa na hormones inbalance.
Yaan anazaliwa mwanaume ila ndan yake anajisikia yeye ni mwanamke.
Mashoga weng wana level ndogo ya testerone na level kubwa ya estrogen
Hilo sio la kubisha
Kuna mchaga anaitwa Nyika? Baadaye nitaonana naye nimuoneshe huu uzi wenu mnajifanya mnamjua sana.Uongoo, ni Mchaga wa Moshi huko.
Mashoga wana hormones za kike hata wewe unazo kama ni me Ila kwa percent ndogo!
Pili hao mabasha wanavutiwa na nn kwa mwanaume mwenzie ? maake Hana Tako, sura au hulka za kike kama unasemea ishu ni hormones?
Ninao wafahamu wengi ni wachaga, na majority yao iko hivyowewe kuwa nao karibu ndo wachaga wanaongoza kuwa gays ? au unaowafahamu ?
Taratibu mkuu, tutafika huko.
Kwanza tumekubaliana kuwa njia ya aja kubwa kibiolojia haijaumbwa kuingiza bali kutoa?
Umekaza kiubaya ubwela.Naunga mkono hoja, na nakazia pia, 📍📍
Hapana, Nasemea mashoga.Hata wale waliolawitiwa umewaweka kwenye list hyo?
N Haina uhusiano wowote wa hormanal issueTaratibu mkuu, tutafika huko.
Kwanza tumekubaliana kuwa njia ya aja kubwa kibiolojia haijaumbwa kuingiza bali kutoa?
Hakuna ushoga na hiyo ubasha ni tabia kama tabia zingine only that hakuna hormones wala nn!Sawa ila zangu zimebalance ndio maana ni mwanaume kamili.
Za mashoga (lesbian na gay) hazijabalance.
Ndio maana nikasema ni hormones inbalance.
Ubasha ni tabia. Na inawezekana hormones za Kiume zimezidi sana wakawa na high sex Libido
Sasa unahisi unamjua wee pekee, namjua Aggrey kuliko ninavyojijua mie mwenyewe.Kuna mchaga anaitwa Nyika? Baadaye nitaonana naye nimuoneshe huu uzi wenu mnajifanya mnamjua sana.
Inamaana hao wahuni hawawaoni wanawake wengine hadi wamchape wa Agrey?Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.
Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?
Ndiyo maana yake. 😂😂😂😂Umekaza kiubaya ubwela.
Hauna uthibitisho wowote umebaki kusikia ama kuambiwa, hivyo tuseme mengineNinao wafahamu wengi ni wachaga, na majority yao iko hivyo
Najua unaumia, ila ukweli ndo huo, MEKU wengi ni marindaless.
😂😂😂😂😂😂😂
Nacheka had Co poaaa.
Mada Imepamba 🔥🔥🔥
Watu jadilini vyedii, leo nakaa na 🍿 nisome ufahamu na uelewa wa Waja.
Mie nikiwa nawaambia, wananikatalia, Leo wanavaana wao kwa wao.
DJ waleteeeeee, 😂😂😂😂😂😂