Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.

Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?
Huu ni umbea sasa mpaka ufuatilie mtu kazi anayofanya kwani amekuja kukuomba hela ya kula? aliyekuambia kuoa mpaka uwe na hela nani?
 
Unajua nyie waja siwaelewagi? Kuna ushoga wa maumbile afu kunao wa nn?

Naomba nikusahihishe, sio maumbile, ni hormones, nweiii najua ni mshua yess.
Mtu hata kama ana hormones za kike akawa hana papuchi hastahili kupelekewa faya jamani.

Hii si nzuri hata kidogo.
 
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.

Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?
kwani wewe una chanzo gani cha kukuingizia kipato mpaka unaulizia maisha ya Aggrey ?
 
Kwa Agrey na mashoga wa namna ile Ni tatizo la hormones.

Ni kama unavyoona wale matomboy.
Hata wakibadilika, na kuolewa bado kuzaa ni ngumu.
Utakuta hata period hawaend namna inatakiwa.

So mostly Mashoga ni tatizo la Hormones.
Sidhani boss. Hakuna hormones inayoelekeza njia ya haja kubwa ipitishe uume. Kwanza hata ile njia kibiolojia haikuundwa kuingiza vitu, imeundwa kutoa. Fanya utafiti wa kibiolojia utaona kuwa njia ya haja kubwa haitakiwi kabisa kuruhu kitu kutoka nje kwenda ndani, wakati unatafiti epuka tovuti zinazosapoti hayo mambo kwa kutafiti muundo wa hiyo njia badala ya uhalali wa kuutumia kwa pleasure.
 
Tazama ndege wa angani hawalimi hawavuni wanakula wanashiba
Ndege wa Angani. Sio ndege wa Bandani au kwenye Kiota.
Ndege akiwa angani we jua yuko kwenye harakati za kuwinda fursa. Akae bandani au kwenye kiota aone kitakachompata.

Someni biblia zenu vizuri. Mbona zimeandikwa kiswahil rahis tu??
 
Sidhani boss. Hakuna hormones inayoelekeza njia ya haja kubwa ipitishe uume. Kwanza hata ile njia kibiolojia haikuundwa kuingiza vitu, imeundwa kutoa. Fanya utafiti wa kibiolojia utaona kuwa njia ya haja kubwa haitakiwi kabisa kuruhu kitu kutoka nje kwenda ndani, wakati unatafiti epuka tovuti zinazosapoti hayo mambo kwa kutafiti muundo wa hiyo njia badala ya uhalali wa kuutumia kwa pleasure.

Hoja sio njia ya haja Kubwa.

Hoja ni kuwa kuna watu wanazaliwa na hormones inbalance.

Yaan anazaliwa mwanaume ila ndan yake anajisikia yeye ni mwanamke.

Mashoga weng wana level ndogo ya testerone na level kubwa ya estrogen

Hilo sio la kubisha
 
Hoja sio njia ya haja Kubwa.

Hoja ni kuwa kuna watu wanazaliwa na hormones inbalance.

Yaan anazaliwa mwanaume ila ndan yake anajisikia yeye ni mwanamke.
Sasa mbna kila siku mnakataa hakuna wanaume wanao zaliwa na hormones za kike?

Ila ni kweli, hormonal imbalance haifanyi mtu kuwa shoga, Shoga ni suala jingine kabisa, mindset na romantics feelings
 
Sidhani boss. Hakuna hormones inayoelekeza njia ya haja kubwa ipitishe uume. Kwanza hata ile njia kibiolojia haikuundwa kuingiza vitu, imeundwa kutoa. Fanya utafiti wa kibiolojia utaona kuwa njia ya haja kubwa haitakiwi kabisa kuruhu kitu kutoka nje kwenda ndani, wakati unatafiti epuka tovuti zinazosapoti hayo mambo kwa kutafiti muundo wa hiyo njia badala ya uhalali wa kuutumia kwa pleasure.
Naunga mkono hoja, na nakazia pia, 📍📍
 
Sasa mbna kila siku mnakataa hakuna wanaume wanao zaliwa na hormones za kike?

Ila ni kweli, hormonal imbalance haifanyi mtu kuwa shoga, Shoga ni suala jingine kabisa, mindset na romantics feelings

Mm najua na sijawah kukataa.
Wapo wanaume/wanawake wanazaliwa na tabia tofaut na jinsia zao na inaanzia kwenye hormones.

Shoga sio mindset .
Romantic feelings ni sawa, na ndio moja ya dalili za kuzidiwa hormones za Kiume.
Mwanaume hawez taman kufanywa unless anajiona kama yeye ni mwanamke.
And thats is hormones Bro.

Hebu google . Usibishe sana
 
Ndege wa Angani. Sio ndege wa Bandani au kwenye Kiota.
Ndege akiwa angani we jua yuko kwenye harakati za kuwinda fursa. Akae bandani au kwenye kiota aone kitakachompata.

Someni biblia zenu vizuri. Mbona zimeandikwa kiswahil rahis tu??
Ina maana ni huyu ndege nimjuaye secretarybird mume wa cocastic ?
 
Back
Top Bottom