Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Agrey sio mchaga jina la mwishoni hatuna uchagani majina ya hivyo calming MadamAggrey sio mtu wa Mbeya, Ni mchaga wa Moshi huyo.
Hayo mengine siyajui. ๐๐๐๐๐
Agrey sio mchaga jina la mwishoni hatuna uchagani majina ya hivyo calming MadamAggrey sio mtu wa Mbeya, Ni mchaga wa Moshi huyo.
Hayo mengine siyajui. ๐๐๐๐๐
Ooooh hapo sasa, hivi kumbe Gayism inasababishwa na hormones eeeh? Si mnasema kuwa hakuna hicho kitu? Inakuaje tena?Hormones za agrey zimeelemea upande wa kike sana..
Ni mchaga wa Moshi huyo. Usikatae hapa.Agrey sio mchaga jina la mwishoni hatuna uchagani majina ya hivyo calming Madam
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.
Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?
Sio mchagaIla MD kwanini lakini? Naona unamtetea Meku mwenzio.
๐๐๐๐๐.
Sio mchaga na hakuna mchaga wa Moshi madam ๐Ni mchaga wa Moshi huyo. Usikatae hapa.
Hakuna kitu kama hichi. Ni tatizo la saikolojia tu.Hormones za agrey zimeelemea upande wa kike sana..
Kisa mchaga mwenzio ndo maana unamtetea, wee kila siku mbna una wananga gays had kusema kuwa ukijua hushiriki nae kwa lolote, unajisahaulisha?Sio mchaga
Hamna mm nashangaa mtu ni mzinifu, mwizi, sawa hakuna anayesapoti ushoga lkn kaamua kubadilika aachwe, awe huru
Yaani Kuna mijanaume kibao Ina familia na wake na watoto ni mabasha, mashoga na wengine wanaitwa ******* smart,
Wengine wapo humu humu jukwaani wakutosha,
Imagine saa kumi na moja kakurupuka na habari za watu, huyu hata mkewe kampa haki yake kweli? Au nae walewaleInaonekana kwenye suala la umbea uko deep sana
๐๐๐๐ unalo hilo, Mchaga mwenzio huyo.Sio mchaga na hakuna mchaga wa Moshi madam ๐
Ok sawa ni Mangi๐๐๐๐ unalo hilo, Mchaga mwenzio huyo.
Aggrey mnae na mnatamba nae.
Weraaaaaah
Mimi huyu ๐ Agrey kaokoka Tena Aunty lily yupo nae karibu kiroho inatia hamasa na moyoKisa mchaga mwenzio ndo maana unamtetea, wee kila siku mbna una wananga gays had kusema kuwa ukijua hushiriki nae kwa lolote, unajisahaulisha?
๐๐๐๐๐ huyo ni Meku.
Ni Mangi haswaaa, ila Aggrey alikua ananichekesha, utasikia "hakuna mchagaa falaa, kwetu Pesa mbele km Tai."Ok sawa ni Mangi
Ila wabongo mnanifurahisha vile hamko na msimamo, unaweza kuta mtu anapinga kitu, siku ya 2 anasapoti, hapo ujue kipo upande wake.Mimi huyu ๐ Agrey kaokoka Tena Aunty lily yupo nae karibu kiroho inatia hamasa na moyo
Ulisha wakuta wanao amia ndege wasile mazao na siraha wanazo tumia kama vile makombeo,mawe nk? Unadhani juhudi wazifanyazo ndege kukwepa mpaka apone na kesho aanze mpambano wa kusaka mkate tena ni kama mchezo wa kuigiza?Wanalishwa na asili
Unaona unavyo kosa hajasomea uchumi ๐Ni Mangi haswaaa, ila Aggrey alikua ananichekesha, utasikia "hakuna mchagaa falaa, kwetu Pesa mbele km Tai."
Afu ana degree yake ya uchumi.
Niambie afu me nishakuambia kuwa free sema usiogope mazee ๐Ila wabongo mnanifurahisha vile hamko na msimamo, unaweza kuta mtu anapinga kitu, siku ya 2 anasapoti, hapo ujue kipo upande wake.
Kuokoka mchezo? Vipi nikusanue au niache? Woiiiiiih
๐๐๐๐๐๐