Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hakuna kitu kama hichi. Ni tatizo la saikolojia tu.
Kwa Agrey na mashoga wa namna ile Ni tatizo la hormones.
Ni kama unavyoona wale matomboy.
Hata wakibadilika, na kuolewa bado kuzaa ni ngumu.
Utakuta hata period hawaend namna inatakiwa.
So mostly Mashoga ni tatizo la Hormones.