Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

Hebu tuanzie hapa.

Nini kinafanya mtu abadili jinsia?
Kama yule mchaga wa Mange .

Unawajua Shemale?

Unawajua Lesbian?
Why mwanamke aamue kuwa Lesbian?

Wale wanaobadili jinsia na kuwa wakike wanapewa vidonge vya kuongeza estrogen.
Why wanapewa?
Hapana shemale ndo nn ?

Kubadili jinsia nadhani ndani yake Kuna kitu huwa anaki feel kuwa ngekuwa hivi, basi ingefaa zaidi na sio hormanal imbalance

Kumezeshwa vidonge vya oestrogen nadhani wanaume hii hatuna hormanal tuna ile progesterone na zote ili mwanamke atimie lazima awe nazo
 
Mm nina amini ushoga
Gay na Lesbian are 90% born that way
(Genetic na hormones)
Na hiyo 10% ndio environmental factors.

Prove me wrong ili nikuletee facts
 
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.

Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila kuaga?
Labda kajipanga!
 
Hapana shemale ndo nn ?

Kubadili jinsia nadhani ndani yake Kuna kitu huwa anaki feel kuwa ngekuwa hivi, basi ingefaa zaidi na sio hormanal imbalance

Kumezeshwa vidonge vya oestrogen nadhani wanaume hii hatuna hormanal tuna ile progesterone na zote ili mwanamke atimie lazima awe nazo

Shemale google ujionee, au nenda Malyasia,
Kuna Ladyboy
And thats genetic .
Na yote uliyoongea hapa ni kuwa Mtu anazaliwa akijisikia mwanamke.
Hormones

Hoja yako ya tatu ni kuwa hormones hazitoshelezi kwahiyo anapewa zitoshe awe mwanamke kamili.
It's hormones pia

Sasa utasemaje mashoga kuwa hawana hormones za kike?
 
Back
Top Bottom