Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Ndoa ni ya wawili lakini hakuna mwanamke anaweza kuolewa na wanaume wawili Ila mwanaume anaweza kuoa wake wawili na zaidiHv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee...
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa ...
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe
...jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
means wanawake tumeumbiwa kuvumilia tu haya maumivu jaman???Ndoa ni ya wawili lakini hakuna mwanamke anaweza kuolewa na wanaume wawili Ila mwanaume anaweza kuoa wake wawili na zaidi
Sasa hapa mi nimefanyaje?? mi nimekosewa lknMwanamke Mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.. Za kuambiwa changanya na zako
Mwenye maitaji ya hiyo ndoa zaidi ya mwenzie, ndie anapaswa kuilinda.Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee...
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa ...
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe
...jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Kama wewe unatimiza wajibu wako na kumheshimu mume wako,basi huna haja ya talaka kwani Mungu yuko upande wako na ndiye atoaye maauzi.Endelea kulea watoto kwa upendo na kumheshimu mumeo siku itafika matendo ya Mungu yatakavyokushangazaHv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee...
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa ...
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe
...jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Sijakuelewa etUkisema leo hii ndoa zote zibatilishwe bila masharti yoyote na kila mtu abaki na alichotafuta kwa jasho lake. Unafikiri jinsia ipi itaandamana?
NB:Kama mgao ni watoto tu.
Hapana sijasema hivyo ukewenza ni mapatano sio forcemeans wanawake tumeumbiwa kuvumilia tu haya maumivu jaman???
😅Kuna kale kakauli ka mtaa mwanaume akiwa msalit mwanamke usivunje ndoa Bali pambana kuilinda
Bullshit 😬
na wewe piga tukio mbona easy tu. cha kwako pekee yako ni kaburi siyo mahusianomeans wanawake tumeumbiwa kuvumilia tu haya maumivu jaman???
Mimi sasa nimeingiaje kwenye haya matukio?Hii stori ni ya upande mmoja. Labda jamaa ameamua kufanya hivyo kutokana na wewe. Umejaribu kujiangalia? Hakuna kitu kinatokea bila sababu. Labda kama ulikua unajua tabia zake na ukakubali kuolewa naye hivyo hivyo