Cha muhimu, jaribu kuishi maisha yako kabisaaa humo ndani kwako fanya majukumu yote ya mke, acha kuuliza alikuwa wapi, acha kushika simu yake, akichelewa acha kupiga piga simu weee hata akilala nje akija mkaribishe tena kwa tabasamu inauma ila jikaze kinafki asijue unaumia, kama unachelewaga kulala tafuta haya tamthilia moja uipende uifatilieeee itakupotezea mawazo ya kuwaza hiyo umbwa yako. Acha kusimlia chochote ndugu zako, rafiki wala mawifi kazini ukifika weka mbali simu fanya majukumu yako yaani kiufupi punguza kuwa karibu naye ila jiweke busy kwa mambo yako ila USITHUBUTU KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAUME MWINGINE MAANA HAKUNA FURAHA UTAKUWA NAYO KAMWE NA ZAIDI AKIKUKAMATA WEWE NDIYO UTAONEKANA MALAYYER.Mimi sasa nimeingiaje kwenye haya matukio?
Mwanaume ana de liboloz anakumwagia anarudi home bila uchafu mwanamke akichepuka anamwagiwa anarudi nyumbani kwa mme wake na masalia ya shahawa hata kama ameosha ndo maana unalaumiwa unataka kuvunja ndoa mwanaume hana kosa kabisaHv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Poleh mwayameans wanawake tumeumbiwa kuvumilia tu haya maumivu jaman???
Hilo ni jukumu la mke.Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume
Ukichunguza sana utagundua kuwa huyo mwanaume alikuwa na dalili zote za ufuska ila ukajua utambadilisha,na ukifikiria kuwa umewakomesha wenzako kwa kumpata ukafunga macho...Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Iwish ungejua napitia nn, usingen bezaUmeshaanza usaliti, hivyo guilty inakulazimisha kutafuta sababu ya kuhalalisha matendo yako.
Vipi naweza kupata kupata access ya hio asali nami niionje?
Kama anaku cheat tena waziwazi huyo hafaiSasa huu kaka sio uke wenza nilijaribu pia kumwambia kama mimi sifiti aoe mke mwingine kuliko huu udhalilishaji anaoufanya.
Yes ni MimiUjui ushauri umetoka kwako kweli?
Karibu bila shakaKwahiyo hao wanawake kawaoa? Leo unanichanganya halafu nilikuwa nataka kuongea na wewe kaka mkubwa 😉
Baba yako anao wangapi na wewe unao wangapi?Mwanaume ameumbwa for sex and sex. Unataka uharibu mpango wa Mungu. Hizo dini sijui na nini mpango wa mke mmoja ni utapeli mkubwa mno ambao wazungu walituletea. Mbona bado nikikutana na mwingine napatwa na hisia ya kumuingilia.
Wanaume wameumbwa kut00mba Kama hujui basi Kaa utulie ama achika subiria ambaye atakuwa anasimamisha kwako peke yako.
Mfalme mswati Kila mwaka anavunja bikra mpya na hajachoka.
Sema ni uchumi tu uNasumbua Ila mie Nina mpango wa kuvunja rekodi ya mfalme Suleiman, yeye alioa wake buku mie nilitaka nioe alfu kumi yaani ni uchumi.
Mungu akaumba men for breeding , elewa mwanaume mmoja anaweza akawapa mimba wanawake milioni moja kidogo yaani yeye KAZI yake ni kula kushiba baadaye anagonga tu basi.
Jogoo mwenyewe anagonga akiwa anataamia ama akiwa na vifaranga hana taarifa Naye.
This is nature don't try to go against it utaumia
Huko inbox 😄Karibu bila shaka
We've to talk the facts na sio ishu personal , kwani Kuna mwanaume ambaye akipewa demu ww ki Ethiopia, Somali,Latin America ,Rwanda , carpe Verde , kiarabu , kizungu kuwa hawawezi mt00mba.Baba yako anao wangapi na wewe unao wangapi?