Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Hii code nimeielewa sana,unajua hapa mwanaume ataanza kujishtukia mbona wife anachukulia mambo poa au ana mtu mwingine nini au anataka kunipiga tukioCha muhimu, jaribu kuishi maisha yako kabisaaa humo ndani kwako fanya majukumu yote ya mke, acha kuuliza alikuwa wapi, acha kushika simu yake, akichelewa acha kupiga piga simu weee hata akilala nje akija mkaribishe tena kwa tabasamu inauma ila jikaze kinafki asijue unaumia, kama unachelewaga kulala tafuta haya tamthilia moja uipende uifatilieeee itakupotezea mawazo ya kuwaza hiyo umbwa yako. Acha kusimlia chochote ndugu zako, rafiki wala mawifi kazini ukifika weka mbali simu fanya majukumu yako yaani kiufupi punguza kuwa karibu naye ila jiweke busy kwa mambo yako ila USITHUBUTU KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAUME MWINGINE MAANA HAKUNA FURAHA UTAKUWA NAYO KAMWE NA ZAIDI AKIKUKAMATA WEWE NDIYO UTAONEKANA MALAYYER.
Ndani ya miezi 3 utaona mabadiliko na nafsi yako itazoea yaani ni hivi utakuwa na amani maana pengine kelele zako zinasababisha yote hayo japo wanaume ni malayerr dah
Endelea kupokea uboho pale unapohitaji,huwezi jua huenda bibi anatoa uvundo wa samaki na mwamba anapenda kupooza machungu kwingine,wanaume Wana kinyaa sana sema Huwa hatusemi ila tunaendelea Kutafuta wapi kunafaa na maisha yanaendelea,Kuna wakati uchi umechacha kinoma unanuka kinyama unaoiga unapata na homa juu,huelewi ni pepo au ni nini,kimsingi ukimlazimisha atakuwa hakukuli na wewe na atapata stress na wote mtakosa kwani pia atapata magonjwa na ukose wa kuhudumai. Ila nature ina nguvu sana,ktk yote hayo atakuwa amesikia mengi toka kwako,na bila kuwala walio karibu na wewe huenda sasa hivi angekuwa na stroke,sasa amua kusuka au kunyoa,muachane au utunze Wana.means wanawake tumeumbiwa kuvumilia tu haya maumivu jaman???
Tatizo liko kwako wala siyo kwa mumeo unaweza ondoka akamuoa mwingine na akatulia kabisa tatizo huna shule ya kumlea mumeHv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Umeandika makolo kolo meengi mno aiseWe've to talk the facts na sio ishu personal , kwani Kuna mwanaume ambaye akipewa demu ww ki Ethiopia, Somali,Latin America ,Rwanda , carpe Verde , kiarabu , kizungu kuwa hawawezi mt00mba.
Men created to breed na ndio mana we're hardwired to sex hakuna upendo ni ngono tu, ule upendo unaficha kivuli cha sex kuwa itaonekana kidogo sio ustaraabu Ila nyuma ya upendo ni sex.
Mwanaume anapotafuta Mali ,fame,pesa , power etc jambo kubwa motivation kwake huwa ni kupata ngono at any time , kind of ngono anayotaka. Na mwanamke ameumbwa kuvutiwa na mwanaume mwenye hizo sifa kuwa ndiye anayefaa kumfaki Azae naye watt Mana anayo safety net ya maisha yake ya kesho pamoja na product of sex ya ku breed offspring.
Yaani mwanamke ni mjanja kuangalia for survival no matter what hakuna kuwa nayeye anapenda Wala nini anachoangalia ni uhakika wa Maisha yake na kiumbe kitachakozaliwa.
Huwa tunadanganya tu Ila inatakiwa potential ama mbolea zingine ni hadithi za abunuwasi.
Ukiwa na uhakika wa Maisha utakula mpaka wajukuu zako na watakuwa wanaacha waume zao kisa tu kuwa ni wakorofi
You can't comprehend it, your subconscious mind is seeing something that ain't related to itUmeandika makolo kolo meengi mno aise
Njoo PM unipe namba yako tumlipizie kisasi.Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee
Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua tena ninapofanyia kazi mimj kuna mdada kaanza kumfatilia yan taflan tupu katika kupambana kutafuta talaka kila mtu ananisihi nivumilie na kuniona kama mimi kutaka kuvunja ndoa ndio mkosaji ila huyu wa matukio yeye haonyeshwi kama mkosaji imekaaje hii aisee.
Baraza la kaja wakanza kunishambulia mm kuvunja ndoa.
Paroko na wasimamiz wa ndoa wote wananishambulia nimeshindwa kusamehe jaman usaliti unauma ila usaliti wa watu wa karibu marafiki majiran unauma zaidi unaona kama dunia imenielemea alafu mkosaji anaonekana yeye yupo sawa.
Jifunze kwa SamsoniHv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee

Ubataka apigwe talaka yeye na famili yake.na wewe piga tukio mbona easy tu. cha kwako pekee yako ni kaburi siyo mahusiano