Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe. Huyu Waziri kijana ni vizuri ajiongeze ktk utendaji kazi. Ana bahati ya kupewa vyeo lkn impact yake haionekani. Tunaona mathalan ktk wizara ya habari mambo aliyoshindwa kufanya kwa mwaka mzima Nape kayatekeleza ktk muda mfupi - kufungua magazeti, channel za fta, n.k. Hatujui kwa mfano kama Bashungwa ana uwezo wa kuboresha vituo vya mabasi na masoko ktk miji kote nchini. I doubtNingekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI, sijui wapi, nilitarajia Bashungwa angekuwa pale amepiga kambi akichekecha mmoja baada ya mwingine.
Hii wizara kwa staili yake, itamuondoa mapema katika nafasi yake, ni wizara kubwa, pana, inayohitaji maamuzi ya haraka. Huko ndiko Kuna wananchi, TAMISEMI ikiboronga, basi serikali nzima inakuwa na mzigo wa kujitetea kwa umma, wapi makatibu wakuu TAMISEMI? Mmekaa tu Dodoma? Rais akipita mahali na akawa na maswali, tuma timu ikayafanyie kazi.
Bashungwa ajitathmini kama anatosha, kama hachukui hatua kwa Kasi ya mwewe, nashauri SSH aanze kumuondoa yeye, wengine watafata, hiyo ni sampo moja tu ya Mkoa wa Mara, nilitarajia Waziri asambaze moto mkali kwa halmashauri zote nchi nzima, Rais kampa sampo tu kwamba hasimamii vizuri TAMISEMI, Bashungwa, wake up! Kengele za tahadhari zimeanza kulia, maandishi yanasomeka ukutani ...mene mene tekeli na pelesi
Akiondolewa atasiingizia usukuma wakeNingekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI, sijui wapi, nilitarajia Bashungwa angekuwa pale amepiga kambi akichekecha mmoja baada ya mwingine.
Hii wizara kwa staili yake, itamuondoa mapema katika nafasi yake, ni wizara kubwa, pana, inayohitaji maamuzi ya haraka. Huko ndiko Kuna wananchi, TAMISEMI ikiboronga, basi serikali nzima inakuwa na mzigo wa kujitetea kwa umma, wapi makatibu wakuu TAMISEMI? Mmekaa tu Dodoma? Rais akipita mahali na akawa na maswali, tuma timu ikayafanyie kazi.
Bashungwa ajitathmini kama anatosha, kama hachukui hatua kwa Kasi ya mwewe, nashauri SSH aanze kumuondoa yeye, wengine watafata, hiyo ni sampo moja tu ya Mkoa wa Mara, nilitarajia Waziri asambaze moto mkali kwa halmashauri zote nchi nzima, Rais kampa sampo tu kwamba hasimamii vizuri TAMISEMI, Bashungwa, wake up! Kengele za tahadhari zimeanza kulia, maandishi yanasomeka ukutani ...mene mene tekeli na pelesi
Bashungwa yeye hajui hata anafanya nini pale bora angepewa LukuviNingekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI, sijui wapi, nilitarajia Bashungwa angekuwa pale amepiga kambi akichekecha mmoja baada ya mwingine.
Hii wizara kwa staili yake, itamuondoa mapema katika nafasi yake, ni wizara kubwa, pana, inayohitaji maamuzi ya haraka. Huko ndiko Kuna wananchi, TAMISEMI ikiboronga, basi serikali nzima inakuwa na mzigo wa kujitetea kwa umma, wapi makatibu wakuu TAMISEMI? Mmekaa tu Dodoma? Rais akipita mahali na akawa na maswali, tuma timu ikayafanyie kazi.
Bashungwa ajitathmini kama anatosha, kama hachukui hatua kwa Kasi ya mwewe, nashauri SSH aanze kumuondoa yeye, wengine watafata, hiyo ni sampo moja tu ya Mkoa wa Mara, nilitarajia Waziri asambaze moto mkali kwa halmashauri zote nchi nzima, Rais kampa sampo tu kwamba hasimamii vizuri TAMISEMI, Bashungwa, wake up! Kengele za tahadhari zimeanza kulia, maandishi yanasomeka ukutani ...mene mene tekeli na pelesi
Yeye hajui hata anafanya niniBashungwa sio kiongozi mbovu, ila jamaa anapendeza zaidi akiwa mzee wa kanisa..
Hata wewe utakuwa tu umezidiwa ulaji lakini unatamani upige vzr snNimejaribu kumtafuta hata kwa simu na njia nyingine nimueleze yanayofanyika halmashauri niliopo bila mafanikio. Hela za mama Samia zinapigwa nyie. Wacha watu wapige hela. Wacha mbuzi wakate kamba. Maana kumuona waziri umpe dokezo ni kama kujitoa muhanga vile.
Kwa taarifa yako sasa hivi mara kuna vikosi 2 vinafanyakaziNingekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI, sijui wapi, nilitarajia Bashungwa angekuwa pale amepiga kambi akichekecha mmoja baada ya mwingine.
Hii wizara kwa staili yake, itamuondoa mapema katika nafasi yake, ni wizara kubwa, pana, inayohitaji maamuzi ya haraka. Huko ndiko Kuna wananchi, TAMISEMI ikiboronga, basi serikali nzima inakuwa na mzigo wa kujitetea kwa umma, wapi makatibu wakuu TAMISEMI? Mmekaa tu Dodoma? Rais akipita mahali na akawa na maswali, tuma timu ikayafanyie kazi.
Bashungwa ajitathmini kama anatosha, kama hachukui hatua kwa Kasi ya mwewe, nashauri SSH aanze kumuondoa yeye, wengine watafata, hiyo ni sampo moja tu ya Mkoa wa Mara, nilitarajia Waziri asambaze moto mkali kwa halmashauri zote nchi nzima, Rais kampa sampo tu kwamba hasimamii vizuri TAMISEMI, Bashungwa, wake up! Kengele za tahadhari zimeanza kulia, maandishi yanasomeka ukutani ...mene mene tekeli na pelesi
Upuuzi mtupu unaunda kikosi kazi kuchunguza mtu aliyekuwa anahamisha fedha za umma kwenda kwenye account binafsi si uzwazwa huo. Bana pumbu zake uone kama mwingine kesho ataibaKwa taarifa yako sasa hivi mara kuna vikosi 2 vinafanyakazi
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwa maoni Bashungwa alipangwa hio wizara kimakosa, hii wizara inahitaji mtu kama Lukuvi au Mpina, KalemaniNingekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI, sijui wapi, nilitarajia Bashungwa angekuwa pale amepiga kambi akichekecha mmoja baada ya mwingine.
Hii wizara kwa staili yake, itamuondoa mapema katika nafasi yake, ni wizara kubwa, pana, inayohitaji maamuzi ya haraka. Huko ndiko Kuna wananchi, TAMISEMI ikiboronga, basi serikali nzima inakuwa na mzigo wa kujitetea kwa umma, wapi makatibu wakuu TAMISEMI? Mmekaa tu Dodoma? Rais akipita mahali na akawa na maswali, tuma timu ikayafanyie kazi.
Bashungwa ajitathmini kama anatosha, kama hachukui hatua kwa Kasi ya mwewe, nashauri SSH aanze kumuondoa yeye, wengine watafata, hiyo ni sampo moja tu ya Mkoa wa Mara, nilitarajia Waziri asambaze moto mkali kwa halmashauri zote nchi nzima, Rais kampa sampo tu kwamba hasimamii vizuri TAMISEMI, Bashungwa, wake up! Kengele za tahadhari zimeanza kulia, maandishi yanasomeka ukutani ...mene mene tekeli na pelesi
Kwani ni msukuma....???Akiondolewa atasiingizia usukuma wake
Mkuu wa mkoa anatosha kabisa, siyo lazima waziri naye ahamie Mara wakati ana mambo mengi ya kufanya katika wizara yake.Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI, sijui wapi, nilitarajia Bashungwa angekuwa pale amepiga kambi akichekecha mmoja baada ya mwingine.
Hii wizara kwa staili yake, itamuondoa mapema katika nafasi yake, ni wizara kubwa, pana, inayohitaji maamuzi ya haraka. Huko ndiko Kuna wananchi, TAMISEMI ikiboronga, basi serikali nzima inakuwa na mzigo wa kujitetea kwa umma, wapi makatibu wakuu TAMISEMI? Mmekaa tu Dodoma? Rais akipita mahali na akawa na maswali, tuma timu ikayafanyie kazi.
Bashungwa ajitathmini kama anatosha, kama hachukui hatua kwa Kasi ya mwewe, nashauri SSH aanze kumuondoa yeye, wengine watafata, hiyo ni sampo moja tu ya Mkoa wa Mara, nilitarajia Waziri asambaze moto mkali kwa halmashauri zote nchi nzima, Rais kampa sampo tu kwamba hasimamii vizuri TAMISEMI, Bashungwa, wake up! Kengele za tahadhari zimeanza kulia, maandishi yanasomeka ukutani ...mene mene tekeli na pelesi
Innocent Bashungwa HATOSHI kwa TAMISEMI.Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum.
Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI, sijui wapi, nilitarajia Bashungwa angekuwa pale amepiga kambi akichekecha mmoja baada ya mwingine.
Hii wizara kwa staili yake, itamuondoa mapema katika nafasi yake, ni wizara kubwa, pana, inayohitaji maamuzi ya haraka. Huko ndiko Kuna wananchi, TAMISEMI ikiboronga, basi serikali nzima inakuwa na mzigo wa kujitetea kwa umma, wapi makatibu wakuu TAMISEMI? Mmekaa tu Dodoma? Rais akipita mahali na akawa na maswali, tuma timu ikayafanyie kazi.
Bashungwa ajitathmini kama anatosha, kama hachukui hatua kwa Kasi ya mwewe, nashauri SSH aanze kumuondoa yeye, wengine watafata, hiyo ni sampo moja tu ya Mkoa wa Mara, nilitarajia Waziri asambaze moto mkali kwa halmashauri zote nchi nzima, Rais kampa sampo tu kwamba hasimamii vizuri TAMISEMI, Bashungwa, wake up! Kengele za tahadhari zimeanza kulia, maandishi yanasomeka ukutani ...mene mene tekeli na pelesi
Hao Wana makandokando, mpina ana kesi kubwa na wavuvi na wafugaji, aliwadhulumu Mali zao, Kalemani ana udanganyifu wa pale Stiglers, anatakiwa akalale selo, Lukuvi ni mzee, mama hawezi kula matapishi, Mchengerwa anatoshaKwa maoni Bashungwa alipangwa hio wizara kimakosa, hii wizara inahitaji mtu kama Lukuvi au Mpina, Kalemani
Nani anajua ? Na kwa nini hatutaarifu?Kwa taarifa yako sasa hivi mara kuna vikosi 2 vinafanyakazi