Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

ZE SHUZI AR TOO BIGI FO HIMU....HATOSHI
Yes, hata hivyo hakuna wizara aliyowahi kuonyesha uwepo wake, sijui ni nini kinambeba, tangu awe Waziri katika wizara zote, hana alama aliyoiacha
 
Nakubaliana na wewe. Huyu Waziri kijana ni vizuri ajiongeze ktk utendaji kazi. Ana bahati ya kupewa vyeo lkn impact yake haionekani. Tunaona mathalan ktk wizara ya habari mambo aliyoshindwa kufanya kwa mwaka mzima Nape kayatekeleza ktk muda mfupi - kufungua magazeti, channel za fta, n.k. Hatujui kwa mfano kama Bashungwa ana uwezo wa kuboresha vituo vya mabasi na masoko ktk miji kote nchini. I doubt
 
Bashungwa sio mtu wa kukurupuka. Anafanya kazi kwa weledi. Tusubiri matokeo chanya nina imani atainyoosha TAMISEMI.
 
Akiondolewa atasiingizia usukuma wake
 
Nimejaribu kumtafuta hata kwa simu na njia nyingine nimueleze yanayofanyika halmashauri niliopo bila mafanikio. Hela za mama Samia zinapigwa nyie. Wacha watu wapige hela. Wacha mbuzi wakate kamba. Maana kumuona waziri umpe dokezo ni kama kujitoa muhanga vile.
 
Bashungwa yeye hajui hata anafanya nini pale bora angepewa Lukuvi
 
Hata wewe utakuwa tu umezidiwa ulaji lakini unatamani upige vzr sn
 
Kwa taarifa yako sasa hivi mara kuna vikosi 2 vinafanyakazi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Si Rais Wala so bashungwa wote TAMISEMI hawaiwezi,sembuse enzi za magufuli bado palikuwa na uozo.
 
Hakuna sehemu inanuka INJUSTICE kama local authorities hii Tanzania. Watumishi tuliopitia huko ndo tunajua vizuri
 
Kwa maoni Bashungwa alipangwa hio wizara kimakosa, hii wizara inahitaji mtu kama Lukuvi au Mpina, Kalemani
 
Mkuu wa mkoa anatosha kabisa, siyo lazima waziri naye ahamie Mara wakati ana mambo mengi ya kufanya katika wizara yake.
 
Innocent Bashungwa HATOSHI kwa TAMISEMI.

Hii ngoma angepewa Mchengerwa ndiyo watu wangeshika adabu
 
Kwa maoni Bashungwa alipangwa hio wizara kimakosa, hii wizara inahitaji mtu kama Lukuvi au Mpina, Kalemani
Hao Wana makandokando, mpina ana kesi kubwa na wavuvi na wafugaji, aliwadhulumu Mali zao, Kalemani ana udanganyifu wa pale Stiglers, anatakiwa akalale selo, Lukuvi ni mzee, mama hawezi kula matapishi, Mchengerwa anatosha
 
Wizara yenyewe ina majitu mavivu huko halmashauri,hakuna creativity wala productivity yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…