Hivi BOT mmeidhinishaje hizi riba za hawa mikopo mitandaoni?

Kudaiwa sio kosa ni kweli. Kosa ni ulaghai unaokuwemo umejificha ndani ya mkopo, na njia inayotumiwa na wadaiwa kama inavunja sheria au kukiuka taratibu. Na hapo ndio tumewalaumu BOT wao kama regulators
Sawa lakini BoT wanachukua hatua katika kipindi ambacho mamilioni ya watu tayari wameshaibiwa Kwa kupewa mikopo Kwa riba kubwa mno na kunyanyaswa Kwa matusi .

Kwahyo watu kama tunadaiwa tulipe kwanza Kisha tuwashitaki wote waliotukopesha Kwa riba ambazo zinaashiria wizi.
Mkopaji akiwa Bado hai Bado ana nafasi ya kulipa.
 
Miongozo na sheria za bot zipo, nina wasiwasi kuna conflict of interest utakuta kigogo wa bot ndio kampuni yakebau anakula percent unategemea nini, haiwezekani hawa watu wanasumbua wananchi namna hii na bot wapo kimya
Kimsingi baada ya kutoa ule muongozo walitakiwa with immediate effect wasitishe huduma za ambao hawajakizi vigezo hadi watakapo kuwa wamekizi. Kutoa tu muongozo ni kama walifanya kuridhisha wabunge baada ya kuliongelea
 
Hakuna aliesema mikopo isilipwe, tunachosisitiza ni BOT na TCRA kuchukua hatua ili kudhibiti na kunusuru wahanga, na wahanga watarajiwa. Sio kuishia kutoa muongozo kisiasa tu wakati watu wanaangamia
 
Ishafika hatua kama waliofikia 'Oya' ya mpaka kuua wadaiwa, tofauti ni kuwa hawa wanaua psychologically, emotionally
Watafungwa kama wanaua 🤣🤣

Hivi kwamfano umemkopesha mtu hela ameenda kununua mananasi Kisha yakaozea sokoni je atalipa au ndo akakope Tena sehemu nyingine ili alipe??.

Daah aisee maisha hatari sana kukopa sio poa. Utakuta mjasiliamali anakopeshwa pesa ananunua katoni za maji harafu haziuziki lakini jamaa baada ya wiki wanataka marejesho ikiwa mkopaji Bado Hana hata mia.

Mungu apunguze adhabu kwakweli.
 
wasije kusema tunawasingizia ushahidi huu apo afu sikuwsomba walianza wao kunitumua vipeperushi vyao nikaona ngoja ni click tazameni huu utapeli afu sasa wanatumua watu wangu text, nimesema sawa kama wanaona wsnadhalilisha watu mwaja huu mpaka uishe watakuwa na hasara ya kutosha nitawafanyia marketing bure kabisa si mwaka wa kwanza wanaingia vyuoni mwezi huu yaana nabandika vipeperudhi vya kukopa na kutokulipa watafurahi na roho zao waache utapeli wa kijinga.
 
unaweka dhamana nini wana JF wakusaidie?
 
Hawa jamaa ni matapeli sielewi kwanini mamlaka zinaona kama ni watoa huduma inayostahili. Kwanza ukitaka kujua hawa ni matapeli angalia jinsi walivyo na namba za simu nyingi. Hivi kampuni ya huduma inakua na namba zaidi ya 10 kweli? Na TCRA wapo kimya
 
Dhamana ni Mimi mwenyewe nikishindwa nipelekwe mahakamani ingawa siwezi kushindwa kwasababu pesa itakuwa kwenye system ya biashara Wala sitaitumia kuhonga Wala kulewa.
Dhamana phonebook yako, usipolipa wanazama kwenye contact list yako wanatuma SMS kwa kila uliemsave
 
 
Mm mkuu nilijikanyaga yule mama anaongea kashfa.. mkund@ wake popote alipo mbwa yule
 
Wana riba kubwa sana hawa wasenge, nilikopa 50,000 nikabetia bahati na nilishinda nikalipa 69,800 siku ya sita tu wakaanza kudai.
Kaka mm nilidaiwa siku ya 5 tu na nilikopeshwa elf 19 mia tano nikaja kulipa elf 33 tatu wakawa wananipigia sim nimezidisha siku hivyo nilipe hela imeongezeka elfu 5 nikalitimua vumbi la mitusi mpaka leo nawapigia mm na hawapokei wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…