Athumani Njalatangu
Member
- Nov 1, 2023
- 39
- 38
Sawa lakini BoT wanachukua hatua katika kipindi ambacho mamilioni ya watu tayari wameshaibiwa Kwa kupewa mikopo Kwa riba kubwa mno na kunyanyaswa Kwa matusi .Kudaiwa sio kosa ni kweli. Kosa ni ulaghai unaokuwemo umejificha ndani ya mkopo, na njia inayotumiwa na wadaiwa kama inavunja sheria au kukiuka taratibu. Na hapo ndio tumewalaumu BOT wao kama regulators
Kwahyo watu kama tunadaiwa tulipe kwanza Kisha tuwashitaki wote waliotukopesha Kwa riba ambazo zinaashiria wizi.
Mkopaji akiwa Bado hai Bado ana nafasi ya kulipa.