Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.
Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?
Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?
CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?
Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
Unateseka sana!
Akija Chadema mtampa Uenyekiti Taifa na kumstaafisha Mbowe
.Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.
Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?
Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?
CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?
Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
Aiseeeeee !!!
Utajinyea bure wewe Kuku mweupe uliyekosa jinsia!Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.
Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?
Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?
CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?
Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
Atawanyoosha tu we ngoja, lazima wajirudi vinginevyo atawasosoa *****! Tena kama yule mwenye majigambo..kazi anayo!Kurudia kwa makonda Ni kurudisha makundi ndani ya CCM. Makanda hapatani na wanaccm wengi, hasa wabunge.
Uwe na adabu na CHADEMAUnateseka sana!
Akija Chadema mtampa Uenyekiti Taifa na kumstaafisha Mbowe
Kwa akili yako hapo CCM kuna mtu mwenye akili timamu?Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.