Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

Wanalegezwa sukuma gang ili waukubali utawala wa mama Abdul. Sisi wa kanda ya ziwa kwa ujumla wetu hatudanganyiki na hizi drama za Biteko na Makonda.
 
CCM imeishiwa watu. Ndani ya miaka mitatu wamebadilisha makatibu wenezi watatu.
Walikuwa wanatafuta ataye-fit vizuri kwenye hiyo nafasi, huenda hata huyu akabadilishwa mwakani.
 
Utakuwa mgeni wa siasa bila shaka!

Lowasa wa List of shame ndiye alionekana anafaa kuliko Slaa aliyeandaa hiyo list yenyewe iliyokuwa Kamusi ya mafisadi kwa miaka nane.

Siasa ni zaidi ya Akili na Hekima!
 
Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.

Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?

Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?

CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?

Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
MACHUKIZO HUYU UMBWA
 
Chadema ingelikuwa imebadilisha Mwenyekiti wa Taifa hoja yako ingeeleweka.
 
Kuna vitu vinachekesha lakini vingine vinatia kinyaa na kufedhehesha mnoo kwenye siasa za Tanzania.

Hivi kwa karne hii yenye kuhitaji wanasiasa wenye akili timamu, upeo na hekima, bado CCM iko usingizini kiasi cha kwenda kuokota watu wale wale wa ajabu ajabu mfano wa Paulo Makonda?

Hivi CCM hakuna tena watu wengine bora na imara mpaka kurudia watu wale wale wa ovyo kuwapa nafasi muhimu za kisiasa?

CCM haiamini tena watu wengine?
CCM haiandai tena viongozi wake?
CCM imeishiwa watu kiasi hiki?

Poleni sana wanaCCM.
Poleni sana chawa wa mama.
Usiwashangae wako desparate, kuelekea 2025, wanahitaji watu wasio na akili ili wawatumie kwenye mipango ovu
 
Back
Top Bottom