Hivi CCM imeishiwa watu wenye akili na hekima mpaka kuendelea kumkumbatia mtu kama Makonda?

Wanalegezwa sukuma gang ili waukubali utawala wa mama Abdul. Sisi wa kanda ya ziwa kwa ujumla wetu hatudanganyiki na hizi drama za Biteko na Makonda.
 
CCM imeishiwa watu. Ndani ya miaka mitatu wamebadilisha makatibu wenezi watatu.
Walikuwa wanatafuta ataye-fit vizuri kwenye hiyo nafasi, huenda hata huyu akabadilishwa mwakani.
 
Utakuwa mgeni wa siasa bila shaka!

Lowasa wa List of shame ndiye alionekana anafaa kuliko Slaa aliyeandaa hiyo list yenyewe iliyokuwa Kamusi ya mafisadi kwa miaka nane.

Siasa ni zaidi ya Akili na Hekima!
 
MACHUKIZO HUYU UMBWA
 
Chadema ingelikuwa imebadilisha Mwenyekiti wa Taifa hoja yako ingeeleweka.
 
Usiwashangae wako desparate, kuelekea 2025, wanahitaji watu wasio na akili ili wawatumie kwenye mipango ovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…