Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Baby shower imoo, mkuje jamani mnileteege hizo nepi, na mwaka huu nashusha dume a.k.a jitu la nyikanii!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic uko wapi? Wizo anatuletea ugeni soon 🤣🤣🤣🤣
Wizo niwacheeeee kidogo aiseee!! Mbavu zinaniuma mwenzio
Ko mtoto wa nani?
 
Haha juz nimetongozwa na mtoto anayetosha kuwa mwanangu. Sijui ujasiri huu kautolea wapi nlishangaa sana. Kwanza kalinipigia simu nipo kwenye bus nlivogundua maongezi haya ni magumu ikabidi nimwambie nitext nipo kwenye bus, sms fupi na rahisi kuelewa yaan nikama mtu anaomba maji ya kunywa "nataka tuwe marafiki" hapa nikirudi nataka nimtie adabu sipendi mashara mie. Nitampelekea moto mpaka aite maji mma
 
Ukiona hivyo.. ujue ushakuwa Malaya tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…