Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaendewa kwa mganga tu, ukionewa huruma nguo zako za ndani utazkutana kwenye kisima cha SuguyeHivi dada ukiwa unampenda mwanaume alafu yeye hakutongozi, hua mnafanya nini?
Sijafikia lengo lile ninalo litakaNn shida mapenzi yanekufanyaje
Pole utakuwa sawa ni suala la muda tuSijafikia lengo lile ninalo litaka
NakaziaTunamtongoza on behalf
ikiwemo kupishana na gari la mshaharaNaachana naye tu....najiepusha na mengi
Nakazia...unapotezea tu kwani sh ngapi?Naachana naye tu....najiepusha na mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] Dada Maua Umenifanya nicheke shostSijawahi kulizwa na mapenzi ila mie naliaga kama alikuwa tajiri
Na wasivyo na haya siku hz hashindwi kukuomba helaNakazia...unapotezea tu kwani sh ngapi?
Tena chap Kwa haraka kabla Upendo haujapoa🤣🤣Na wasivyo na haya siku hz hashindwi kukuomba hela
Hapo ashakukula kimasihara na hela anaombaTena chap Kwa haraka kabla Upendo haujapoa🤣🤣
🤣🤣Balaa zito.....na kukutangaza Kwa Wana demu maharage ya mbeyaHapo ashakukula kimasihara na hela anaomba
Tena analeta thread kwa rikiboy🤣🤣Balaa zito.....na kukutangaza Kwa Wana demu maharage ya mbeya
Kumbe adi kula mnajua 😂Yes
Kama nmemuelewa? Lazima nimle tu 🤭😋
Yes
Kama nmemuelewa? Lazima nimle tu [emoji2960][emoji39]
Chanzo ni helaNdio hayo hayo si chanzo ni mapenzi dada maua sama
PoleChanzo ni hela