Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Siku hzi mapenzi sio kipaumbele ila ni mambo mengine kwa kweli kama atakuwepo nitamshukuru Mungu ila kama hayupo basi tunamtafuta ili awepo unajua kuwa kwenye mahusiano ni baraka sanaNn shida mapenzi yanekufanyaje