Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

hi comment kuna kitu nilitaka kusema ila ngoja kwanza nimeze mate mengi tu siku ipite.
Elewa neno pipa la Asidi ardhi tu ukifukiwa ukiwa hai ni pipa la Asidi tosha huchomoki sijasema wale waliofukiwa na kifusi cha ghorofa lakini
 
Hivi mnajua chadema huwa wanatekana muulizeni Dr slaa
 
🤔🤔🤔
 
Huwezi kutoa uhai wa watu wanaokukosoa sio sawa laana hii itakuwa juu ya hao watoa amri na watekelezaji damu za watu zitawalilia vizazi na vizazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…