Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

Control room[emoji16]
 

Attachments

  • IMG-20240406-WA0001.jpg
    36.7 KB · Views: 2
Tuanze kuuliza je ni kazi ya VAR kukubali au kukataa goli?
 
Wee ni lionngo sanaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkiambiwa angalieni na mechi za nje hamuelewi.

Arsenal alifungwa goli ambalo macho yaliona mpira umetoka var ikasema haujatoka.

Juzi spurs kakataliwa goli ambalo macho yaliona mpira umevuka mstari ila var ikagoma.

Na haina kukata rufaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbona EPL wanapokwa pointi wao wanatumia kanuni ipi au mpira wa Africa unasheria zake? umesahau ile ya simba kuchezesha mchezaji asiye stahiki? bado yanga wakipanga karata vzr wanaweza wakapindua meza kibabe, staki kuamini kuwa VAR inakuwa ARV
Wewe sio muelewa, hebu soma vizuri uelewe.
Acha wenge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata wakikata rufaa ni kmetoka zaid refa atachukuliwa hatua ila kwenda mbele ni ndoto
Hivyo hivyo, ila inabidi tudai fidia hata bilioni kadhaa, watu wanawekeza pesa kwennye mpira halafu refa anafanya uonevu ambao huwezi kuutetea, hivi VAR kazi yake nini sasa.., mi ninachojua Yanga kashaingia nusu fainali.
 
Hakuna ni kama vile Matokea yakishatangazwa NEC hayahojiwi sehemu yoyote.

Feel it now
 
Hivyo hivyo, ila inabidi tudai fidia hata bilioni kadhaa, watu wanawekeza pesa kwennye mpira halafu refa anafanya uonevu ambao huwezi kuutetea, hivi VAR kazi yake nini sasa.., mi ninachojua Yanga kashaingia nusu fainali.
Mbona kwenye uchaguzi watu wanavunjwa miguu....sembuse pira la ngozi tu
 
Matokeo kufutwa hutokana na kosa kufanywa na wachezaji

Wahusika wa hilo kosa ni marefa sio wachezaji

Hilo haliwezi kutokea hata siku moja.
Nakubaliana na wewe, lakini ili kukomesha hila za Motsepe Yanga file case ya malalamiko na ushahidi.

Refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, lakini kwenye goli lenye utata hakwenda hata kujiridhisha kuna Siri gani?
 
Siku ile zengeli anapiga mpira unadunda nje ya goalline na refa anasema ni goal si mlishangilia? Mnahisi Ihefu hawakuumia.
Basi mkae mkijua malipo ni hapa hapa duniani.
 
Hata wakikata rufaa ni kmetoka zaid refa atachukuliwa hatua ila kwenda mbele ni ndoto
Yanga anaweza kurudishiwa ushindi wake alioporwa, hii inaweza kwenda hata FIFA pia, hakuna namna yeyote ile VAR inaweza kukataa hilo goli, na hii ndio mara kwanza hapa duniani kwa VAR amabyo kil mtu anaona inakataa goli lililoingia, na kila mtu including refa ameona.
 
Sheria zipo hapa ... Matokeo yanaweza kufutwa coz hii ni fixed match .. na mmiliki wa timu ni Rais wa chama Cha soka.
Exactly, kama kuna viashiria vya wazi wazi kama hivi kwa mtu mwenye mamlaka katika chama na ndiye mmliki wa timu husika kufannya match fixing kwa kumtumi refa, hiyo inawahisi mamelodi moja kwa moja, hakuna utetezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…