stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Hata Liverpool walionewa na bodi ya Marefa ikasema refa alifanya makosa ila Totenham wakabaki na point zao 3.Mkiambiwa angalieni na mechi za nje hamuelewi.
Arsenal alifungwa goli ambalo macho yaliona mpira umetoka var ikasema haujatoka.
Juzi spurs kakataliwa goli ambalo macho yaliona mpira umevuka mstari ila var ikagoma.
Na haina kukata rufaa.
Kwa usahihi vp wakati iliamua sio goli? Basi Haji haji aende akairekebishe ikawe kwa usahihi,Huku CAF ipo ila haikutumika kwa usahihi je huku kwenu ipo......?
VAR haiamui goal,baali wale wanao rudia kuangalia clip kwenye VAR ndio wanao amua na ndio maana nikasema haijatumika kwa usahihi.Kwa usahihi vp wakati iliamua sio goli? Basi Haji haji aende akairekebishe ikawe kwa usahihi,
Kuna vitu ukiwa hujui nyamaza mkuu, unaweza kuniambia kwa nini lomalisa hakuoneshwa red kwa kumchezea vibaya mudau wakati VAR ilitumika kwa refa, we huo sahihi ni upi, yaani hiyo VAR kwa lomalisa ionekane ni sahihi halafu kwa Aziz ionekane sio sahihi.VAR haiamui goal,baali wale wanao rudia kuangalia clip kwenye VAR ndio wanao amua na ndio maana nikasema haijatumika kwa usahihi.
Pili kuwa na VAR haina maana waamuzi hawato kosea na ndio maana EPL,kuna baadhi wamepewa adhabu kwa kushindwa kutumia VAR kwa usahihi.
Halafu naona matokeo ya jana yame wafanya msahau ya kwenu au ndio ile picha ya Try again na Mayele imewafariji.
Halafu umeongea kitu kizuri, why ile ya Lomalisa alienda kuhakikisha kwa nini hili goli hakwenda kuhakikisha?Kuna vitu ukiwa hujui nyamaza mkuu, unaweza kuniambia kwa nini lomalisa hakuoneshwa red kwa kumchezea vibaya mudau wakati VAR ilitumika kwa refa, we huo sahihi ni upi, yaani hiyo VAR kwa lomalisa ionekane ni sahihi halafu kwa Aziz ionekane sio sahihi.
Tazama hiyo clip itakusaidia sana kujua nini kilitoea jana kama ukiitazama ukawa umeweka mahaba na timu yako basi hutaelewa Milele. Nimeishia hapaVAR haiamui goal,baali wale wanao rudia kuangalia clip kwenye VAR ndio wanao amua na ndio maana nikasema haijatumika kwa usahihi.
Pili kuwa na VAR haina maana waamuzi hawato kosea na ndio maana EPL,kuna baadhi wamepewa adhabu kwa kushindwa kutumia VAR kwa usahihi.
Halafu naona matokeo ya jana yame wafanya msahau ya kwenu au ndio ile picha ya Try again na Mayele imewafariji.
Umekuja vzr unajua kwa nini huwa anakwenda au haendiHalafu umeongea kitu kizuri, why ile ya Lomalisa alienda kuhakikisha kwa nini hili goli hakwenda kuhakikisha?
Ile sio red card,labda kama unataka kuleta ushabiki na kubalance matokeo na ndio maana alienda kujiridhisha.
Sasa ni tizame Clip kwani scenario zinafanana?Tazama hiyo clip itakusaidia sana kujua nini kilitoea jana kama ukiitazama ukawa umeweka mahaba na timu yako basi hutaelewa Milele. Nimeishia hapa
Shida mahaba yamekujaa, hiyo ya jana camera iliyotumika ni moja tu hakuna aerial camera kama hiyo clip we uko goba eti umeona kuna distance ya mstari mweupe na mpira mara commentator wa france amesema ni goli๐ ๐ hiyo clip niliyokuwekea hapo kabla ya aerial view si unaona ni goal baada ya aerial view je?Sasa ni tizame Clip kwani scenario zinafanana?
Wewe kitu gani kilicho kufanya kujua kwenye hiyo clip hilo sio goal?
Goal la Yanga,ukiangalia mpira unapodunda,unaiona line yote ile ya chake,pili unaona kuna distance ipo kati ya mpira na ile nyeupe, moja kwa moja ni goal.Uzuri kuanzia Commentator wa France na hata hawa wabongo waliconfirm goal palepale na SABC.
Nime kuuliza hapa huja nijibu.Shida mahaba yamekujaa, hiyo ya jana camera iliyotumika ni moja tu hakuna aerial camera kama hiyo clip we uko goba eti umeona kuna distance ya mstari mweupe na mpira mara commentator wa france amesema ni goli๐ ๐ hiyo clip niliyokuwekea hapo kabla ya aerial view si unaona ni goal baada ya aerial view je?
Hiyo ni kazi ya CAF kuchumguza, wana tools zaoUnathibitishaje?
Sio kazi ya CAF, CAF au FIFA zinasimama kama mahakama kusikiliza mashtakaHiyo ni kazi ya CAF kuchumguza, wana tools zao
We jamaa kwa hiyo Mzungu akitangaza ndio linakuwa goli๐ ๐ ๐Nime kuuliza hapa huja nijibu.
Wewe kitu gani kilicho kufanya kujua kwenye hiyo clip hilo sio goal?
Mahaba yanijae mimi,Mzungu aliyekuwa akitangaza kwa Kingereza, SABC nk yaani hawa wote wana mahaba?
Sasa hawa SABC na Commentator wa kizungu nao wapo Goba, sababu Commentator anaccess ya Camera zote za uwanjani.
Sasa mtu ana access ya Camera zote kwa nini ni simuamini okay tuachane na mzungu na hili shirika la utangazaji la South Africa SABC nao wanakaa Goba.We jamaa kwa hiyo Mzungu akitangaza ndio linakuwa goli๐ ๐ ๐
Basi Mkuu, andikeni barua lkn ujue kwa mujibu VAR sio goli na itabaki kuwa hivyo, au hilo shirika la utangazaji watutumie hizo access zao tujihakikishieSasa mtu ana access ya Camera zote kwa nini ni simuamini okay tuachane na mzungu na hili shirika la utangazaji la South Africa SABC nao wanakaa Goba.
, CAF sio mahakama, ni chombo cha usimamizi na uendeshaji wa soka Afrika, bogus. Kwa muhibu wa kanuni zao, Ukiwapelekea tuhuma zozote, haijalishi zimeletwa na nani au dhidi ya nani, watachunguza kwa mbinu zao kujua ukweli au uongo na kutoa uamuzi kwa kadri ya kanuni!Sio kazi ya CAF, CAF au FIFA zinasimama kama mahakama kusikiliza mashtaka
Kwa hiyo ni jukumu la mlalamikaji kutoa ushahidi kuwa hiyo ni match fixed.
Unathibitishaje?
VAR officers na watangazaji wote wanakuwa na access ya Kamera zote na kwenye production kuna kuwaga na director ambaye huongoza machaguo ya kamera ipi iende ipi isubiri, ukiona SABC na yule Commentator wa kizungu hadi wamesema goal jua ni goal halafu wale hawana ushabiki kama wewe.Basi Mkuu, andikeni barua lkn ujue kwa mujibu VAR sio goli na itabaki kuwa hivyo, au hilo shirika la utangazaji watutumie hizo access zao tujihakikishie
Hayo maumivu uliyonayo, ndio waliyapata geita, ihefu, kagera, halafu huyo mzungu unaempambania ambae akisema ndio linakuwa goli naomba namba zake anitumie access alizotumia kusema ni goli wakati VAR imetafsiri sio goliVAR officers na watangazaji wote wanakuwa na access ya Kamera zote na kwenye production kuna kuwaga na director ambaye huongoza machaguo ya kamera ipi iende ipi isubiri, ukiona SABC na yule Commentator wa kizungu hadi wamesema goal jua ni goal halafu wale hawana ushabiki kama wewe.
Maamuzi ya mpira haya badiliki najua hilo, ila malalamiko ya Yanga yanaweza kubadilisha mpira wa Africa, hata goal line Technology ilianza baada ya Uingereza Lampard kunyimwa goal lake zidi ya Ujerumani mpira ulidundia ndani ukatoka nje. Uingereza walilamika FIFA,matokeo yake ni haya mabadidiliko kwani Kupitia malalamiko ya Uingereza leo hii tuna goal line technology.
Najua ww ni mnazi wa 5imba ,lile ni goal halali ila waamuzi wameshindwa kuitumia hata hiyo tools ya VAR kufanya maamuzi ya goal.
Nilikuuliza kwenu huku VAR?Hayo maumivu uliyonayo, ndio waliyapata geita, ihefu, kagera, halafu huyo mzungu unaempambania ambae akisema ndio linakuwa goli naomba namba zake anitumie access alizotumia kusema ni goli wakati VAR imetafsiri sio goli
Kama ulikuwa hujui CAF ni taasisi yenye idara nyingi ndani yakeHahahah
, CAF sio mahakama, ni chombo cha usimamizi na uendeshaji wa soka Afrika, bogus. Kwa muhibu wa kanuni zao, Ukiwapelekea tuhuma zozote, haijalishi zimeletwa na nani au dhidi ya nani, watachunguza kwa mbinu zao kujua ukweli au uongo na kutoa uamuzi kwa kadri ya kanuni!