mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Daah hivi wanaume wa hivi mnapatikanaga wapi jamani mweee. Kuna watu hawana hela, home ni apeche alolo lakini suruali miguuni, yani hazina zipu wala vishikizo. Uendelee tu hivyo hivyo kaka angu mweee
Wapo mmoja mmoja sista, endelea tu kumuomba Mungu atakupa unayemtaka, ila ndo hivyo uwe tayari kusacrifice zile sifa zingine mzipendazo sana kwa ujumla wenu, loh! Coz hakuna aliyepewa vyote na Mwenyezi Mungu