Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Hivi hakunaga mipaka eeeh?

Daah hivi wanaume wa hivi mnapatikanaga wapi jamani mweee. Kuna watu hawana hela, home ni apeche alolo lakini suruali miguuni, yani hazina zipu wala vishikizo. Uendelee tu hivyo hivyo kaka angu mweee

Wapo mmoja mmoja sista, endelea tu kumuomba Mungu atakupa unayemtaka, ila ndo hivyo uwe tayari kusacrifice zile sifa zingine mzipendazo sana kwa ujumla wenu, loh! Coz hakuna aliyepewa vyote na Mwenyezi Mungu
 
Hahaha my kaka si unanijua dada ako. Niombee tu
 
Yes nakuelewa sana tu, ila ndo hivyo mashaka lazima niwe nayo kama binadamu, hivi akikutokea short chasis utaelewa somo kweli sista?

Hahaha Imebidi nicheke wallah. Yani kama short chasis kawashinda hadi warefu kwa vigezo, unadhani namuacha sasa? Awe tu anajiamini maana watu wafupi nao hawajambo
 
Hahaha Imebidi nicheke wallah. Yani kama short chasis kawashinda hadi warefu kwa vigezo, unadhani namuacha sasa? Awe tu anajiamini maana watu wafupi nao hawajambo

Hahaaa we cheka tu kwa raha zako!! mie nimetoa tu mfano kukazia point yangu ya kwamba ni lazima uwe tayari kusacrifice zile sifa zenu pendwa
 
Yaani nyinyi siwaelewi kabisa...
Ndo maana dawa mtu akiwa na mtoto kabla ya kuoa au kuolewa ni kukubali matokeo tu ya kulea mtoto wa mumeo / mkeo, wanawake waelewa wanakubali matokeo na mtoto anakaa nae kama wake ili azuie mianya la jamaa kwenda ku-provide mtoto. Wanaume ni watu wa kutoa kama wana hela si kwa mzazi mwenzake tu hata kwa watu wengine endapo anayo hivyo hakuna shida hapo kama unaona kwako kuzuri alafu mtoto wako anakaa pabaya
 
Hii issue ni complicated ndio maana kuepuka hizi complication watu wanaamua hawataoa/hawataolewa na mtu mwenye mtoto.
 
Yaani nyinyi siwaelewi kabisa...

Wanajitoa ufahamu tu..yaani ukalee wa kwako, wa baba mwingine (naye yupo) na familia yako nyumbani! Na huyo anayelelewa wa kwake ametoa tu macho! Anachekelea ada za wanae zimeshalipwa..aisee...
 
Kila mtu ana namna yake anavoishi ila mie naonaga sio sawa wanandoa kuanza kusema hizo ni hela za mme atumie atakavyo ndo hivo ataishia kununua friji na vingine apeleke ajuako yeye, namie nkisema zangu ni zangu ninunue mawigi tutatafutana.....mnaishi kwenye nyumba ya kupanga huko kujikamua kupeleka assets somewhere na ada ni heri ajikamue ajenge ahamie kwake, ahudumie ila huduma ziwe na mipaka

Kwa muelewa kweli unachosema, ila asiyemuelewa ndugu yangu koo litakukauka kwa kusema na friji atapeleka! Mmmmh
 
Hahaaa we cheka tu kwa raha zako!! mie nimetoa tu mfano kukazia point yangu ya kwamba ni lazima uwe tayari kusacrifice zile sifa zenu pendwa

Zile sifa ni "fantasy" tu my kaka. Ukimpata mtu sahihi mbona unasahau tu. Watu tunahofia wanaume wafupi sio kwa sababu ya ufupi nope, watu wafupi wengi hawajiamini yani wanajua kujitutumua hatari afu very sensitive. Wanahisi hawaheshimiki sijui so atajiweka tu juu ili umuheshimu. But nikipata kitu andunje + vigezo A afu confidence kimenizidi hadi mimi, Aah mbona heels nazisahau. Nikitembea barabarani nakashika tu mkono kaandunje kangu sina habareee
 
Coment zako zinaniachaga hoi
 
Hahaaaa eti ka anduje
Sasa kama unafahamu naturally hawajiamini shida iko wapi sasa? ndo udhaifu wao huo inabidi kuukubali tu hakuna namna.

Halafu ujue 70% ya confidence ya mume hujengwa na mke, so itategemea utamaccept vipi kuimarisha confidence yake
 
Weeeeeee my kaka wewe, nina aunt yangu mmoja ameolewa na andunje. Yule sio mwanaume,; ni mbishi, mgomvi, mjuaji, anapenda sifa ana dharau yani anajua kujitutumua yule pyeee. While aunt yangu anajishusha jamani kama sio mnyaki vile, yani kila mtu anampaga sifa maana sio kwa ule ukorofi. Yani yule aunt yangu kila siku ananiambia "mwanangu watu wafupi hapana". Mtu wa hivyo unambeba vipi unafikiri?
 
Weeeeeee my kaka wewe, nina aunt yangu mmoja ameolewa na andunje. Yule sio mwanaume,; ni mbishi, mgomvi, mjuaji, anapenda sifa ana dharau yani anajua kujitutumua yule pyeee. While aunt yangu anajishusha jamani kama sio mnyaki vile, yani kila mtu ana mpaka sifa maana sio kwa ule ukorofi. Yani yule aunt yangu kila siku ananiambia "mwanangu watu wafupi hapana". Mtu wa hivyo unambeba vipi unafikiri?

Watu wafupi wengi wana matatizo, wote wanaume kwa wanawake
 
Back
Top Bottom