Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Na tukiwauliza baada ya kumuondoa Polepole, Ben,Chaula, wamefanikiwa nini?
 
Umetema na umeeleweka mkuu

Kudos
 
Unaongea sana kwa kuwa unalala kwa dadako ,achana na nyuzi za kichochezi sisi tunapenda amani sana wewe hamia Congo

USSR
Ndugu kabla hujamcriticise Britanica personally ulipaswa utuambie hayo madai yake yana msingi gan kwa hali ilivyo sasa tena yenye muendelezo? Kabla hujataja Amani firstly u should talk bout justice!!
 
Alafu leo mnamlaumu USA kwa kumzoa Maduro....kuna viongozi katika dunia hii wanatakiwa kufanywa kitu mbaya kwa ukatili waliofanya...
R.I.P Polepole
Huyu bi mdashi hawezi kuendeleza makosa aliyoyafanya kabla ya October 29 kamwe!
Na pia hawezi kuruhusu Polepole auawe. Kama ameruhusu Hilo basi ajiandae kupata upinzani usiokuwa wa kinafiki kutoka ndani ya ccm, makanisa yote na wananchi kwa ujumla. Siamini Kama kamuua.
 
Wana angalia anamna ya kumtelekeza
 
 
Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia🥺🥺🥺😫🤔
Halafu ikaishia wapi? Acheni kumfuatilia britanicca huyu ndiyo anawalengesha wanaharakati kisha wanakamatwa na kuuliwa na akina Mafwele
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…