Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Mimi ni huyo

Senior Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
103
Reaction score
84
Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi! Siku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee.

Ila alipokuwa njiani tuliwasiliana kama mara 2 Tatizo ni kwamba muda aliokaribia kufika simu yake kila ukimpigia inatumika nadhan kuna mtu alikuwa anaongea nae.

Baada ya muda nahisi akaniblock laini zangu na hakuna respond yeyote, ikijaribu kupiga namba nyingine inaita kama kawaida. Nahisi kusalitiwa japo sijaongea nae ila siamini kabisa kama yupo sehemu salama.

Naomba ushauri wenu katika ili kuna haja hadi kusubiri maelekezo au ndo nijiandae kuita dear ex.

1628666386814.png
 
Back
Top Bottom