Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Mkuu kuna kuibiwa simu, ajali n.k

Acha kuwaza - ve,,, ulichukua simu ya mtu mwingine ujaribu kumpigia uone kama amekublock.!?

Infact,,, Mapenzi ni ufalla sana.
 
Mkuu kuna kuibiwa simu, ajali n.k

Acha kuwaza - ve,,, ulichukua simu ya mtu mwingine ujaribu kumpigia uone kama amekublock.!?

Infact,,, Mapenzi ni ufalla sana.

Yah nilifanya ikawa inapatikana fresh tu
 
Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi! Siku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee.

Ila alipokuwa njiani tuliwasiliana kama mara 2 Tatizo ni kwamba muda aliokaribia kufika simu yake kila ukimpigia inatumika nadhan kuna mtu alikuwa anaongea nae.

Baada ya muda nahisi akaniblock laini zangu na hakuna respond yeyote, ikijaribu kupiga namba nyingine inaita kama kawaida. Nahisi kusalitiwa japo sijaongea nae ila siamini kabisa kama yupo sehemu salama.

Naomba ushauri wenu katika ili kuna haja hadi kusubiri maelekezo au ndo nijiandae kuita dear ex.

 
Jibu unalo ..
Unaomba ushauri wa nini?
Ni mpenzi wako kweli au sex partner tu?

Vijana wengi hamjui hata mpenzi ndo yupi
Na fukc buddy yupi..
We unasema huyu mke, mwenzio hata hajui..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom