Mimi ni huyo
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 103
- 84
- Thread starter
- #201
Ulimuuliza kuhusu simu yake kutumika muda mrefu? Kuhusu pia ulivyompigia kwenye namba ingine hakupokea? Mwisho kama cm yake ilizima why hakutafuta namna ingine ya kukujulisha kwa usiku huo ikiwa anajua ulienda kumpokea?
Sijaongea nae katuma tu sms hata kumjibu nimeshindwa