Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Mkuu, (1.) vipi amekutafuta mpaka sasa? (2.) Kabla ya safari yake hii mpaka amekutaarifu kuwa anakuja uende kumpokea, je dalili za migogoro ilishaanza na kupelekea taa nyekundu kuwaka katika mahusiano yenu?Dalili zote za namba kuwa blocken nimeziona na nilichukua cm nyingine nikapiga inaita tu vzr
Achana nae mkuu hv viumbe vina akili mbovu sana
Achana nae maana amekudharau waziwazi na wala haoneshi kua anajutia.
Mkasa wangu ni tofauti kidogo na wako ila ktk mawasiliano kwa njia ya simu yaan ni huo huo mchezo ngoja tu nisimulie mwishoni pekeeIlikuwaje mkuu tufarijiane hapa kaka
Oa huyo ndo dawa yake.
Pole sana Mkuu, (1.) vipi amekutafuta mpaka sasa? (2.) Kabla ya safari yake hii mpaka amekutaarifu kuwa anakuja uende kumpokea, je dalili za migogoro ilishaanza na kupelekea taa nyekundu kuwaka katika mahusiano yenu?
Mkasa wangu ni tofauti kidogo na wako ila ktk mawasiliano kwa njia ya simu yaan ni huo huo mchezo ngoja tu nisimulie mwishoni pekee
Tokea alipo hama mtaa huu niliopo mawasiliano kwa njia ya simu yalikuwa magumu sana, bs mwishoni nikatumia kila njia nijue nn kimya chake, nilisajili laini mpya nikaweka salio nikampa rafiki yangu sim awasiliane nae, mawasiliano yalikuwa ya dk 5 ila majibu aliyompa yalitushtua alikuwa hafahamu anawasiliana na nani lakin akamwambia tayari walishamtolea posa hata huyo rafiki yang hakumuuliza swali juu ya kuolewa lakin atoa hayo maneno bs nilikesha aiseee. Ila ilipofika hasubui nikawa nimetulia nikaendelea kumtumia txt lkn majibu hayarudi bs baada ya siku mbili nikamtxt kuwa kama tayari ashaganisaliti bs mie nimekubali na kama kaolewa mi nishagakubali wamchukue ndo aliponijibu ety 7bu ya kutojibu txt zangu sizipumzishi[emoji849] ety namtumia txt nying mpk anashindwa kuzijibu. Wakat katik akili yng nilikuwa nakumbuka kuwa sikuwa ktk hali hiyo hapo mwanzo na kumtumia txt nyng ni kwamba nilikuwa nina hofu nae. Bs akanambia niwe namtumia txt za kuwa ninamjulia hali na akanipa mfano et kama "kama umeshindaje" bs na mm nikawa nafanya lkn majibu yalikuwa hayarudi lkn nikaona nisipaniki kwanza baada ya 1 week nikamtxt usiku nikamuuliza lini atakuja kwangu akajibu tatzo nauli bahati mbaya sim ikawa ndo inaisha chaji na umeme luku imekwisha, kutokana ninaishi nyumba za kupanga na umeme unabidi uchangiwe wapangaji wenzangu wakanizengua nikaweka umeme mwenyewe ili nichaji sim nimjibu, baada ya kuchaji simu nikamtxt nimtumie nauli? Msg ilipokelewa lkn majibu hayakurudi, bs hasubui nikamtafta tena akanambia yupo bize nikamwambia nina maongezi nae kidogo akakubali, bs nikaamua nimdanganye nikamwambi"wiki mbili zimepita kuna mtu alinambia kuwa kaolewa" eh ehe mdau mwenzangu, dem akajibu kwa kifupi ndio nikamuuliza ni kweri akasema ndio nikampongeza akajibu ahsante
HAPO SIJAMALIZA ILA KIUFUPI NILIUMIA SANA NA NIKAENDELEZEA KUMTUMIA TXT ZA KUMLAUM TAKRIBANI MIEZI MIWILI BILA RESPOND MPAKA NIKAPOTEZA MATUMAINI SIVI NIMETULIA NA NIMESHAANZA KUMSAHAU JAPO HUU MKASA NI WA MIEZI MIWILI ILIYOPITA
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ndo ivyo mkuuDaaaa pole sana kaka kweli ukiona lako zito angalia kwa wenzako
Nachokushauri achia kumtafuta huyo, asipokutafta bs we baki unajua txt kapokea umempigia hapokei sim na kwa kweri anaujua kuwa unamtafta. We kaa kimya, tulia ujionee matokeo
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Bs msikilize ila usimuamini, we baki ukijua lolote baya linaweza kutokea na hutokaa ukalisahauAmenisms asubuhi anasema eti cm ilizima chaj na alifika usiku wakati c kweli
Ulimuuliza kuhusu simu yake kutumika muda mrefu? Kuhusu pia ulivyompigia kwenye namba ingine hakupokea? Mwisho kama cm yake ilizima why hakutafuta namna ingine ya kukujulisha kwa usiku huo ikiwa anajua ulienda kumpokea?1 amenitafuta amesema alifika usiku sn akapitiliza kwao 2 alitaarifu siku moja labla na alipopanda bas alinitaarifu na alipokaribia alinitaarifu kabla ya cm kuanza kutumika muda mrefu na kujikuta niko blocked 3 sidgan kama kuna ugomvi wa mtu kupotelea kusikojulikana ndio maana no 2 alikuwa ananipa notificatipn
Bs msikilize ila usimuamini, we baki ukijua lolote baya linaweza kutokea na hutokaa ukalisahau
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app