Mimi ni huyo
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 103
- 84
- Thread starter
- #41
Mkuu mimi kuna kitoto nilikipanga day flani, wakati kinakuja mida ta saa nne asubuhi nilikuwa getini nakisubiri. Kilipofika kikasema nisubiri nakuja saiv, nikajua kinaenda shop.
Bro kilirudi jioni, me sikumind wala nini. Nilikiuliza kikasema nilirudi jioni sikukukuta getini. Nikacheka sana.
Yaan hawa ndo wanasababisha wenzao tuwahukumu kwa makosa yasio yao