Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

[emoji3][emoji3]Mkuu kuna matatizo yakikukuta mtu yanaitaji ujasiri kumuomba sana Mungu kwamba tatizo limeshanikuta na nitapambana nalo kivyovyote vile bila kunichanganya akili yangu
Uko sahihi sana kipenzi changu lkn tumetofautiana sana, wengine akibaki nalo anakufa bora ateme nyongo apone
 
Uko sahihi sana kipenzi changu lkn tumetofautiana sana, wengine akibaki nalo anakufa bora ateme nyongo apone
Ni sawa kwa upande wangu kwenye mahusiano ni bora mtu aniache yeye nakuwa na amani Moyo wangu unaona hauna atia nitaumia kwa mda na nikisau huwa sikumbuki kama niliwahi kuwa na fulani kimbembe nikiacha
 
[emoji3][emoji3]Mkuu kuna matatizo yakikukuta mtu yanaitaji ujasiri kumuomba sana Mungu kwamba tatizo limeshanikuta na nitapambana nalo kivyovyote vile bila kunichanganya akili yangu

Amenitext this morn anasema alichelewa sn kufika akaona aende kulala tu kwake na cm ilizima wakat cm ilikuwa inapatikana na alikuwa ameniblock jaman
 
Usimjibu hiyo SMS na wala usimpigie akikupigia msikilize hadi mwisho usichangie kitu chochote

Yaan kuna kitu kimenikaa hapa nataman nimwite nimchane kila kitu daaaa yaan amekuja na reason ya ajabu sanaaa
 
Back
Top Bottom