Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Moyo wangu ni wa kijilipua. Akinipiga block nami nampiga block.... afu nafanya kila niwezalo nambandua shosti yake, na nahakikisha kabisa anajua.

Afu maisha yanasonga mbele...

Mm nadhan naweza enda mbali zaidi hata kwa mamake mzaz aiseee
 
Yah najua na sipingani na hayo yaan nachowaza hapa nimuacheje ili nimpe nae jeraha la moyo aiseee
Usiache kwa kulipa kisasi huwa kinarudi nawe utakuja kufanyiwa kama hivyo huyo ukimuacha kwa kitendo alichofanya ataumia maisha yake yote niamini mimi mkuu
 
Huo ni ushauri wa kumpa mdogo wetu kumbe babu hufai😀😀
Sasa naona kila ushauri wa kijamii na kiroho ameshindwa kuupokea. Acha tumpe ushauri wa kibandidu.

Ibilisi hatamuangusha, atampa ushirikiano wa kutosha.... duniani na motoni
 
Wadangaji wanaposafiri kwenda mkoa mwingine huwa wanaandaa watu kama watatu hivi wa kuwapanga akishaanza safari anachat nao wote kisha anapima,kwenye maslahi zaidi ndipo ataanza kwenda kulala akishamalizana naye ndio ataanza kuwasaka wengine waliobaki.
Kisha baadae ukimuuliza mbona ulikuwa hupatikani atakwambia simu yangu ilianguka ikazima nilipofika stendi ikanibidi nipitilize kwa shangazi.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Yaan kumbe ndio maana watu wanachoma moto hivi viumbe kwa kweli
 
Siku hizi ukiwa ukimpata mpenzi usimuweke akilini hiyo ndio dawa ya kujiokoa. mdogo wangu.
Nimedili na kila aina ya wanawake nawajua vizuri tabia zao.
Ukimuamini kwa sababu ya muonekano wake siku utakuja kushangazwa hautaamini na utaomba ardhi ipasuke uingie
 
Usiache kwa kulipa kisasi huwa kinarudi nawe utakuja kufanyiwa kama hivyo huyo ukimuacha kwa kitendo alichofanya ataumia maisha yake yote niamini mimi mkuu

Yaan kanikera bora angenijia na strong reason
 
Siku hizi ukiwa ukimpata mpenzi usimuweke akilini hiyo ndio dawa ya kujiokoa. mdogo wangu.
Nimedili na kila aina ya wanawake nawajua vizuri tabia zao.
Ukimuamini kwa sababu ya muonekano wake siku utakuja kushangazwa hautaamini na utaomba ardhi ipasuke uingie
Sio wote mkuu usitusagie kunguni
 
Siku hizi ukiwa ukimpata mpenzi usimuweke akilini hiyo ndio dawa ya kujiokoa. mdogo wangu.
Nimedili na kila aina ya wanawake nawajua vizuri tabia zao.
Ukimuamini kwa sababu ya muonekano wake siku utakuja kushangazwa hautaamini na utaomba ardhi ipasuke uingie

Yaan vile alivyo serious na unafki wake wa kupublish mahusiano ndio ulinimaliza kabisa nikaona hatakuwa hana mambo mengi kumbeee
 
Back
Top Bottom