Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Amenitext this morn anasema alichelewa sn kufika akaona aende kulala tu kwake na cm ilizima wakat cm ilikuwa inapatikana na alikuwa ameniblock jaman
Kuna wakati Moyo huwa unapenda sehemu ambazo hazistahili kupendwa ila sio kigezo kwamba unganganie hapo huyo Mwanamke kama utakubali huo uwongo wake kuwa tayari kuwa wewe mchepuko ina maana ana njia kuu yake na dunia iliyojaa maradhi ya kila namna maamuzi ni yako
 
Mwambie siku hizi watu hawatumii tena moyo kwenye mahusiano. ... wanatumia akili...

Moyo hata mbuzi anao.... ebo
 
Nadhani ilikuwa kwa jana tu ili apate space ya kufanya yake this morn itakuwa amenitoa nadhan japo sijamtafuta te a
Tumia akili basi. Alikublock ili akampe uroda shujaa aliyekutana naye kwenye basi. Asubuhi mwamba alipopiga mashine kuchuja protini kwa mara ya mwisho, wameachana lila mtu aendelee ma maisha yake... hapo ndipo bebi wako mzinzi akaondoa block...

Haya mambo mbona hayahitaji diploma kuyajua?

Stuka.... think!
 
Yah najua na sipingani na hayo yaan nachowaza hapa nimuacheje ili nimpe nae jeraha la moyo aiseee
 
Kwani ulimtumia nauli?Kama alitumia nauli yake mwenyewe achana naye wadangaji kama hao wapo kila kona hakuna haja ya kutumiwa kutoka mkoani

Yaan ni mpenzi wangu kabisa but amenibadilishia gear angan wakat ananifata huku nilipo mkuu
 
Mkuu hiyo mara mbili mliyowasiliana nae ujue alikosea namba. Target yake haikuwa wewe ndo maana kablock namba zako baada ya kugundua.

Achana nae, jambo dogo hilo linakupa wenge.
Wadangaji wanaposafiri kwenda mkoa mwingine huwa wanaandaa watu kama watatu hivi wa kuwapanga akishaanza safari anachat nao wote kisha anapima,kwenye maslahi zaidi ndipo ataanza kwenda kulala akishamalizana naye ndio ataanza kuwasaka wengine waliobaki.
Kisha baadae ukimuuliza mbona ulikuwa hupatikani atakwambia simu yangu ilianguka ikazima nilipofika stendi ikanibidi nipitilize kwa shangazi.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Moyo wangu ni wa kijilipua. Akinipiga block nami nampiga block.... afu nafanya kila niwezalo nambandua shosti yake, na nahakikisha kabisa anajua.

Afu maisha yanasonga mbele...
Huo ni ushauri wa kumpa mdogo wetu kumbe babu hufai😀😀
 
Back
Top Bottom