Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jikaze kiume utaumia siku 2 tu au 3 utamsahau. na usigeuke nyuma hakufai huyo mkiendelea mtakuja kuchomana visu

Kwa kweli yaan hawa ndio wanafanya wanaume tuchezee wanawake wengine wasiokuwa na hatia
 
Uzito wa jambo unategemeana na uzoefu wq mtu katika kimkutacho, uwezo wa kufikiria na hisia juu ya jambo hilo...

Mshauri tu mdau, utapata thawabu zako huko mbele mbele

Nafikiri mm kwenye hisia ndio tatizo langu lilipoanzia nilimwamini sana
 
Usimtafute kuanzia sasa na endapo atakutafuta msikikize atakachokiongea halafu mpuuze,fanya kama hakuna kilichotokea huku ukujipa muda zaidi wa kufanya maamuzi sahihi.Kiukweli huyo mpenzi wako kuna anayempenda zaidi kaja kumpokea na ndiyo Yuko nae akishamalizana nae atakupigia na blah blah nyingiii.
 
Kama tuliwazapamoja
 
Back
Top Bottom