Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Mkuu hiyo mara mbili mliyowasiliana nae ujue alikosea namba. Target yake haikuwa wewe ndo maana kablock namba zako baada ya kugundua.Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi!sisiku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee ila alipokuwa njian tuliwasiliama kama mara 2 Tatizo ni kwamba muda aliokaribia kufika cm yake kila ukimpigia inatumika nadhan kuna mtu alikuwa anaongea nae baada ya muda nahisi akaniblock laini zangu na hakuna respond yeyote:nikijaribu kupiga namba nyingine inaita kama kawaida:; Nahisi kusalitiwa japo sijaongea nae ila siamini kabisa kama yupo sehemu salama. Naomba ushauri wenu katika ili kuna haja hadi kusubiri maelekezo au ndo nijiandae kuita dear ex
Achana nae, jambo dogo hilo linakupa wenge.