Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.

Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.

Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye vipindi vyao vingine vyote vilivyobaki labda kidogo malumbano ya hoja.

Ila cha ajabu wanajiita Superbrand.
 
Back
Top Bottom