Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Tuchukulie ndivyo walivyo ili tusiwakwaze 🤣🤣🤣😂Ni kama wamepoteana ila wanaforce
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuchukulie ndivyo walivyo ili tusiwakwaze 🤣🤣🤣😂Ni kama wamepoteana ila wanaforce
Mchezo supa🤣
Nimetoka kuangalia hapa, kimeisha muda si mrefu, usipokuwa na hela ya kulipia kinga'muzi ndio hivyo inabidi uangalie tu hamna namna😂😂😂Hivi kipindi cha Mizengwe bado kipo?
Tuchukulie ndivyo walivyo ili tusiwakwaze 🤣🤣🤣😂
Kuna downfall kubwa sana lwenye vipindi vya televisheni za ndani
Sio ITV tu, Televisheni zote huwa hazina vitu vya maana, hata hiyo taarifa ya habari ni upuuzi mtupu. Ndio maana wauza magari ya kifahari huwezi kuta wanatangaza kwa TV maana wanajua watu timamu hawaangalii TV.
Hivi unanipa taarifa ya gari kupinduka inanisaidia nini, kuna magari mangapi yamepinduka, taarifa za muhimu ni taarifa za ikulu tu kwenye gazeti la serilkali basi.
Tuchukulie ndivyo walivyo ili tusiwakwaze 🤣🤣🤣😂
Wapo kawaida tu hakuna ushawishiKwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye vipindi vyao vingine vyote vilivyobaki labda kidogo malumbano ya hoja.
Ila cha ajabu wanajiita Superbrand.
Nadhani sio bongo tu, content za TV zinaenda kupitwa na wakati. Labda live coverages, breaking news ila mambo ya taarifa za habari...za nini wakati nazipata kupitia social networks.
Wapo kawaida tu hakuna ushawishi
Mimi ITV, ninamtafutagaKwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.