Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #101
Taarifa yao ya habari haina habari za kimataifa hasa mbelembele
Hata za michezo ni sifuri kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa yao ya habari haina habari za kimataifa hasa mbelembele
Media za GenZ ni worse kuliko hiyo ITV, labda kwa hao GenZ wenyewe, ila hakuna content yoyote ya maana toka kwa GenZ, labda wewe uniambie ni media ipi a GenZ ina content za kueleweka.Kweli kabisa, downfall lazima iwepo maana dunia inageuka daily, mfano tukio linatokea now na on 10sec naliona na kusoma online, sasa niende kusubiri saa 20:00 si kupoteza muda?.
Alafu media za Gen Z zimeleta mapinduzi makubwa sana so no one can waste time to this.
Media za GenZ ni worse kuliko hiyo ITV, labda kwa hao GenZ wenyewe, ila hakuna content yoyote ya maana toka kwa GenZ, labda wewe uniambie ni media ipi a GenZ ina content za kueleweka.
Cc: Mufti kuku The InfinityITV kwa habari hawajambo.
Kila ukiwasha channel, mara habar za saa, mara jiji letu, sijui hapa na kule, matukio ya wiki, et al.
Cc BICHWA KOMWE - na komwe lako
Reply tyr
🤣🤣🤣 nakumbuka kuna siku moja tukiwa tunaangalia ITV wakaonyesha wimbo wa Bongo flaver, ndg yangu alishangaa huku akisema toka lini ITV wakaonyesha muziki alishangaa saana🤣🤣🤣Ni ajabu kwakweli maana kizazi kipya kinadhani ITV ni channel ya taarifa ya habari.
Yaani kizazi kipya kinajua ITV ni channel inayowashwa saa 2 kamili na kuzimwa saa 2½😁
Kuna kitu hujanielewa na hautaweza kunielewa.Media za GenZ ni worse kuliko hiyo ITV, labda kwa hao GenZ wenyewe, ila hakuna content yoyote ya maana toka kwa GenZ, labda wewe uniambie ni media ipi a GenZ ina content za kueleweka.