Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
😂😂😂Sio tu lifemate hata wewe inaonekana ni ITV hadi kifo😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Sio tu lifemate hata wewe inaonekana ni ITV hadi kifo😂😂😂
Kweli kabisa, downfall lazima iwepo maana dunia inageuka daily, mfano tukio linatokea now na on 10sec naliona na kusoma online, sasa niende kusubiri saa 20:00 si kupoteza muda?.Bado wapo ila wamepoteana kuna downfall kubwa sana

Hawavumi lakini wamoKwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye vipindi vyao vingine vyote vilivyobaki labda kidogo malumbano ya hoja.
Ila cha ajabu wanajiita Superbrand.
Tbc hujawaona unawasakama ITV 😂😂😂Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye vipindi vyao vingine vyote vilivyobaki labda kidogo malumbano ya hoja.
Ila cha ajabu wanajiita Superbrand.
TumekusikiaKwenye camera hapo wamegoma kabisa kubadilika, hata EATV ni hivyo hivyo...kuna kipindi nilikuwa napenda kufatilia FNL, ile zile picha zinakata sana mood!
Yeah ITV imetutoa mbali enzi hizo kuna filamu kutoka kenya inaitwa Cobra Squad ikianza kuna mziki unaimba
"Niliambiwaaa🎶 Na Babu yanguu🎶
Kweli zubaazubaa🎶 utapata mwana si wakoo🎶
SikupingiKweli kabisa, downfall lazima iwepo maana dunia inageuka daily, mfano tukio linatokea now na on 10sec naliona na kusoma online, sasa niende kusubiri saa 20:00 si kupoteza muda?.
Alafu media za Gen Z zimeleta mapinduzi makubwa sana so no one can waste time to this.
Ndiyo ITV ya siku hizi haivumi lakini imoHawavumi lakini wamo
Hahaa sijaona hiyo kakaTbc hujawaona unawasakama ITV 😂😂😂
Mi napenda Kipindi chao cha Hapa na Pale.😂😂,Hawavumi lakini wamoMalumbano ya hoja😂