BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hata ripoti maalumu mkuu sio kipindi cha maana??Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye vipindi vyao vingine vyote vilivyobaki labda kidogo malumbano ya hoja.
Ila cha ajabu wanajiita Superbrand.