Mkuu hao wa pembeni mzee ni wa arushaHuyo Leonardo mwenye kapero ni Mkerewe. Siyo wa Arusha
Tatizo watu huku nje wanadhani arusha yote vijana wako hivyo, hapana. Hao ni vikundi vichache sana. Most of them ni cool guys hawavai au ku behave hivyoKimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua🤣🙄dub
Tatizo watu huku nje wanadhani arusha yote vijana wako hivyo, hapana. Hao ni vikundi vichache sana. Most of them ni cool guys hawavai au ku behave hivyo
🤣Is it funny or?? Kwa unavoonaKuna yale majamaa yalitengeneza chapati kubwa duniani video iko YouTube yanahojiwa wa Mina Ali huku yaki tafuna ile michapati ya kimataifa.
yakaulizwa huwa mnacheza nyimbo gani? majamaa yakasema nyimbo yoyote tu hata taarifa ya habari, matangazo ya vifo wao wanacheza.
Naamini apo Mchaga hata mmoja..Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua🤣🙄dub
ni sawa tu, whatever they do for mine it's Okay.🤣Is it funny or?? Kwa unavoona
Arusha nzima ina vijana waliotulia wapo, ofcourse kila mahali kuna watu wa style hiyo but haimaanishi vijana wote ni wako hivyo, as mm nilieishi hapo wakati natafuta maisha, hao jamaa wako kidogo sana, ila wanakuzwa ionekane kwamba arusha nzima iko hivyoDuh ni wapy lakini mzazi arusha inamatukio mpka basi mara mtu "watu wamenunua maiti wakazika" muhusika kapotezwa kafanywa zezeta ili wauze shamba
Lakini unazungumziaje mauaji yanayotokea arusha visa mbali mbali ke kwa meArusha nzima ina vijana waliotulia wapo, ofcourse kila mahali kuna watu wa style hiyo but haimaanishi vijana wote ni wako hivyo, as mm nilieishi hapo wakati natafuta maisha, hao jamaa wako kidogo sana, ila wanakuzwa ionekane kwamba arusha nzima iko hivyo
Mabangi na tatizo la Afya ya akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakuwa hivi.Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua🤣🙄dub
🤣Kumbe naye "shimboni shafo"mshamba_hachekwi Njoo hapa mccenge wewe .... Unajifanya unanisumbua sana.
Hii week tumewakaliaa kooni Umbwa nyinyi😂😂.