Hivi hawa mwaka 2040 Arusha ndo watakuwa wazee kwa vijana wao. "wazee wengi wa hovyo"

Hivi hawa mwaka 2040 Arusha ndo watakuwa wazee kwa vijana wao. "wazee wengi wa hovyo"

Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk

Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.

Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua🤣🙄dub
Watu wa uchagani na Arusha wana uhusiano gani labda?
 
Sitaki kujaza page Ila matukio ya huko yako wazi ingia ayo TV siku ukipata mda utanielewa

Fahamu Mikoa inayoongoza kwa matukio ya Ukatili​

Jumanne , 8th Dec , 2020
Na Mwandishi wetu
Ukatili wa kijinsia umetajwa kuwa chanzo cha Serikali kupoteza fedha nyingi katika kuhudumia wahanga pamoja na kuendesha kesi hizo nchini, hali inayo kwamisha baadhi ya huduma kutokana na pesa hizo kupotea huko.

MAMA%20MAKINDA.jpg

Spika wa Bunge Mstaafu, Anna Makinda.
Hayo yameelezwa na Spika wa Bunge Mstaafu, Anna Makinda, wakati akizungumza katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Beijing leo Desemba 8, 2020 Jijini Dar es Salaam.
Akitoa takwimu za matukio ya ukatili nchini amesema kuwa, kwaa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2015-2016 unaonesha kuwa asilimia 40 ya wanawake wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 49 wameshafanyiwa vitendo vya ukatili wa kupigwa au kingono katika maisha yao.
Kama tunavyopambana katika mambo mengine, tuandae pia kizazi chenye kuleta mapinduzi ya kijinsia ili Ukatili wa kijinsia uwe historia Tanzania na Duniani, Takwimu hizo pia zilionesha mikoa inayoongoza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia ni, Kagera, Mara, Mwanza na Kigoma”, amesema Makinda.
Akizungumzia miaka 25 ya Beijing pamoja na hali ya matukio ya ukatili Tanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuongeza nguvu katika kukabiliana na ukatili wa kijinsia.
 
Sitaki kujaza page Ila matukio ya huko yako wazi ingia ayo TV siku ukipata mda utanielewa
Mikoa inayongoza kwa ukatilo
na idadi ya matukio
Dar es Salaam - 13,719
Shinyanga - 12,300
Mara - 9,823
Mwanza - 9,242
Geita - 7,697
Kigoma - 7,544
Kagera - 7496
Tabora - 7,471
Ruvuma - 7,425
Tanga - 6,827

Chanzo: Wizara ya Afy
 
Huwezi fananisha kanda ya ziwa kwa majitu makatili na mabwege na kabda ya kijanja North endeleni kuchunga ng'ombe nyie
Matukio ya ukatili

Dar es Salaam - 13,719
Shinyanga - 12,300
Mara - 9,823
Mwanza - 9,242
Geita - 7,697
Kigoma - 7,544
Kagera - 7496
Tabora - 7,471
Ruvuma - 7,425
Tanga - 6,827

Chanzo: Wizara ya Afy
 
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk

Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.

Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua🤣🙄dub
Ndo maana Vijana wa kanda ya ziwa wataendelea kuwaburuza kweli kweli kila sekta.
 
Back
Top Bottom