ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Watu wa uchagani na Arusha wana uhusiano gani labda?Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua🤣🙄dub
Hamna tatizo lolote hizi ni comedy welcome to ArushaMabangi na tatizo la Afya ya akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakuwa hivi.
Mauaji gani yanatokea Arusha?Lakini unazungumziaje mauaji yanayotokea arusha visa mbali mbali ke kwa me
Sijawai kuelewa huwa wanafanya shughuli gani?
Sitaki kujaza page Ila matukio ya huko yako wazi ingia ayo TV siku ukipata mda utanielewaMauaji gani yanatokea Arusha?
Vijana shupavu watabaki wa Kanda ya ziwa tu na ndiyo watakaokamata fursa hizo Kanda zingine upumbavu ndiyo wanaona ujanja
Wida ip mkuuHizo ni Pigo tu bablai. Usichukulie serious sana. Karibu Arachuga Ubonyee na Mawida
Kwani mauaji ya albino na vikongwe si huwa yanatokea huko ziwani au ni arushaWida ip mkuu
Sitaki kujaza page Ila matukio ya huko yako wazi ingia ayo TV siku ukipata mda utanielewa
Hayo yameelezwa na Spika wa Bunge Mstaafu, Anna Makinda, wakati akizungumza katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Beijing leo Desemba 8, 2020 Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge Mstaafu, Anna Makinda.
Widaa Kaya buda kumeditate muhimu. Naona kuna raia imedandia bike kwa mbele inasema sijui blah blah Janjaro sipo huko mtajua venye mtamalizanaWida ip mkuu
Karibu kitimoto Abdu.mshamba_hachekwi Njoo hapa mccenge wewe .... Unajifanya unanisumbua sana.
Hii week tumewakaliaa kooni Umbwa nyinyi😂😂.
Mikoa inayongoza kwa ukatiloSitaki kujaza page Ila matukio ya huko yako wazi ingia ayo TV siku ukipata mda utanielewa
Matukio ya ukatiliHuwezi fananisha kanda ya ziwa kwa majitu makatili na mabwege na kabda ya kijanja North endeleni kuchunga ng'ombe nyie
Wachaga ni wazawa wa Kilimanjaro sio Arushanilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani
Ndo maana Vijana wa kanda ya ziwa wataendelea kuwaburuza kweli kweli kila sekta.Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepungua🤣🙄dub
Lakini ni wakaazi wa mji wa Arusha. 99% ya wakazi wa Arusha ni wazaliwa wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mfano Godbless Lema; Mrisho GamboWachaga ni wazawa wa Kilimanjaro sio Arusha
Hapo mmoja tu ndio Mwarusha, kuna Mkerewe hapo, huyo mwingine mjita na mwingine MnyaturuVijana shupavu watabaki wa Kanda ya ziwa tu na ndiyo watakaokamata fursa hizo Kanda zingine upumbavu ndiyo wanaona ujanja