Lakini ni wakaazi wa mji wa Arusha. 99% ya wakazi wa Arusha ni wazaliwa wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mfano Godbless Lema; Mrisho Gambo
Lakini wanakula na kuvaa na hawakuombi hela π€£π€£π€£Sijawai kuelewa huwa wanafanya shughuli gani?
99% wana damu ya kichagga na kipare. Hiyo ni fact. Arusha ni extension ya Moshi mjiniSio kweli, 99% π€£π€£π€£ sema tu Waarusha, Wachagga, na Wameru ni ngumu kuwatofautisha kwsbb kuna relationship kubwa sana....na Intermarriage imekuwepo tangu karne nyingi nyuma
Kuna Mchagga anazaliwa Njiro, Sakina au Kijenge na kukulia hapo kwa miaka yake yote hata kichaga hakijui, lugha ya kwanza Kiswahili, ya pili Kiingereza n.k
So Intermarriage ni kubwa since &since
Hao ndio wadungunyuKimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepunguaπ€£πdub
Hivi mauaji yanatokea arusha tu? Between me na ke?Lakini unazungumziaje mauaji yanayotokea arusha visa mbali mbali ke kwa me
Watu wa chuga ππKimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepunguaπ€£πdub
Nenda kakae arusha hata mwezi mmoja tu utabadilisha mawazo kuhusu arusha uliyonayo kichwani kwako kama ambavyo watz wengi wanaiona kama hicho kikundi cha wasanii wanaojiita waduduKimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit zimepunguaπ€£πdub
We mzee Ebu leta twakimu za mwaka huu acha ujanja ujanja bring currently evidence four years mzee??Fahamu Mikoa inayoongoza kwa matukio ya Ukatili
Jumanne , 8th Dec , 2020
Na Mwandishi wetu
Ukatili wa kijinsia umetajwa kuwa chanzo cha Serikali kupoteza fedha nyingi katika kuhudumia wahanga pamoja na kuendesha kesi hizo nchini, hali inayo kwamisha baadhi ya huduma kutokana na pesa hizo kupotea huko.
Hayo yameelezwa na Spika wa Bunge Mstaafu, Anna Makinda, wakati akizungumza katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Beijing leo Desemba 8, 2020 Jijini Dar es Salaam.
Akitoa takwimu za matukio ya ukatili nchini amesema kuwa, kwaa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2015-2016 unaonesha kuwa asilimia 40 ya wanawake wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 49 wameshafanyiwa vitendo vya ukatili wa kupigwa au kingono katika maisha yao.
βKama tunavyopambana katika mambo mengine, tuandae pia kizazi chenye kuleta mapinduzi ya kijinsia ili Ukatili wa kijinsia uwe historia Tanzania na Duniani, Takwimu hizo pia zilionesha mikoa inayoongoza kwa matukio ya ukatili wa kijinsia ni, Kagera, Mara, Mwanza na Kigomaβ, amesema Makinda.
Akizungumzia miaka 25 ya Beijing pamoja na hali ya matukio ya ukatili Tanzania, Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi amesema kuwa Watanzania wanatakiwa kuongeza nguvu katika kukabiliana na ukatili wa kijinsia.
Mikoa inayongoza kwa ukatilo
na idadi ya matukio
Dar es Salaam - 13,719
Shinyanga - 12,300
Mara - 9,823
Mwanza - 9,242
Geita - 7,697
Kigoma - 7,544
Kagera - 7496
Tabora - 7,471
Ruvuma - 7,425
Tanga - 6,827
Chanzo: Wizara ya Afy
Lakini ni wakaazi wa mji wa Arusha. 99% ya wakazi wa Arusha ni wazaliwa wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mfano Godbless Lema; Mrisho Gambo
Pure crystal cut Philosophy.Hao ni wazee kwa watoto ambao wajazaliwa sasahivi hao wa watoto wakishazaliwa na kuwa na uelewa wa kuwaona wazee basi uwo uhovyo unaouona wewe hawatakuwanao tena. Hii inamaana hata hao wazeewa sasahivi ambao kwako wazee kipindi wewe hujazaliwa walikuwa wa hovyo tu.
Hii ni sawa na hawa wanawake ambao sasahivi tunawaona wa hovyo tunawaita chura, malaya nk watoto wao ambao wanawazaa sasahivi baadae watawaita Mamazetu na majina kibao ya praise.
Kuna documents kuizidi wizara ya afya ?!! Au we π?? Unaugua utahira!!!Unabifu na kanda ya ziwa bring authorized (documentation) to prove what statistics
Sio kweli hao jamaa wanatoa sana burudani kwenye maClubs miaka mingiNilichoona,wanaoinjoy life la arusha ni wanaume kuanzia miaka 40+,hao kwenye picha hata kwenye maclub huwa hawafik
Hapo unaona kabisa umeandika kiingereza π π€£ π π acha chuki kama uliachwa na bwana wa Arusha usitusakame njoo tukuoe u enjoy mji wenye hali murua ya hewa na nyama za kimataifaWe mzee Ebu leta twakimu za mwaka huu acha ujanja ujanja bring currently evidence four years mzee??
Hapo unaona kabisa umeandika kiingereza π π€£ π π acha chuki kama uliachwa na bwana wa Arusha usitusakame njoo tukuoe u enjoy mji wenye hali murua ya hewa na nyama za kimataifa
Arusha patamu sehem isio salama wazungu hawaendi
Hatari sanaKuna yale majamaa yalitengeneza chapati kubwa duniani video iko YouTube yanahojiwa wa Mina Ali huku yaki tafuna ile michapati ya kimataifa.
yakaulizwa huwa mnacheza nyimbo gani? majamaa yakasema nyimbo yoyote tu hata taarifa ya habari, matangazo ya vifo wao wanacheza.
Unahamisha mada naona huko kanda ya ziwa mnaongoza kwa ushamba na ukatili kinara Geitq na MaraUnahamasisha ushoga budah
Ushamba sio dhambiUnahamisha mada naona huko kanda ya ziwa mnaongoza kwa ushamba na ukatili kinara Geitq na Mara