Hivi hawa mwaka 2040 Arusha ndo watakuwa wazee kwa vijana wao. "wazee wengi wa hovyo"

Mungu azidi kuniweka, maana ningepitwa na mengi sana aiseeee...🤨
 
Wadudu kwenye moja na mbili,, na serikali imeshatangaza "rasmi" kuwatambua kupitia sherehe za may mosi 2024 pale Sheikh Amri Abeid

We umia, gugumia, galagala, wherever. Wadudu for life
 
Ni wasanii wa muziki?
 
CannabisƗ3 normaly cure or conquer.
 
Arusha sio uchagani ila moshi ndo uchagani
 
Miaka 10 ijayo ukiwakuta hawa ni mijitu na hekima zao huwezi amini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…