Hivi hawa mwaka 2040 Arusha ndo watakuwa wazee kwa vijana wao. "wazee wengi wa hovyo"

Ni Vijana wenye Maarifa ,Wabarikiwe wazee wa busara
 
Huwezi fananisha kanda ya ziwa kwa majitu makatili na mabwege na kabda ya kijanja North endeleni kuchunga ng'ombe nyie
nawe endelea kuchunga ng'ombe na punda ili kuboresha sekta ya ufugaji nchini.
 
Kuna documents kuizidi wizara ya afya ?!! Au we 🐕?? Unaugua utahira!!!
kwa suala la uhalifu ni wizara ya mambo ya ndani, hiyo ya wizara ya Afya ni utapeli mtupu
 
kwa suala la uhalifu ni wizara ya mambo ya ndani, hiyo ya wizara ya Afya ni utapeli mtupu
Umefanya utafiti wewe? Haya leta taarifa ya wizara ya mambo ya ndani? Unadhani tunakwenda na takwimu sio taarabu
 
Umefanya utafiti wewe? Haya leta taarifa ya wizara ya mambo ya ndani? Unadhani tunakwenda na takwimu sio taarabu
 
😂
 
Ma
Jority
Majorities ya type hizi hawafikagi hata 30, huwa wanapukutika hapo katikati.
 
dah! ila mpunguze kuchungia barabara hapo punda wenu, hasa ile mitaa ya meserani na duka bovu
Nyasi adimu na meserani, duka bovu, sironga hadi makuyuni ukame mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…