Kwa taarifa yako Natalia ni mmoja wa wanawake wachache wa kwanza ilivyoanzishwa Tambaza high school kwa wanawake.Hunijui huyo Mkandawile nimesoma tuition kwake na mama shija jangwani na primary Ndosi .pole sana kwa hasira ulizonazo .Sasa hilo ndiyo swali gani?
Wewe unajua watu kama hawa watakuwa wamezeeka na wameshastaafu long time.
Halafu usijifanye ulikuwa bundi fulani enzi za Form Four hadi ujue majina ya hawa Walimu na hata kutaja somo la Chemistry.
Kudaadeki!
Sasa hilo ndiyo swali gani?

Hapo Tambaza high school hakuna walimu .Na watu tukafaulu vilevile .chezea jeshi la watoto wa Tambaza wewe.Kwa taarifa yako Natalia ni mmoja wa wanawake wachache wa kwanza ilivyoanzishwa Tambaza high school kwa wanawake.Hunijui huyo Mkandawile nimesoma tuition kwake na mama shija jangwani na primary Ndosi .pole sana kwa hasira ulizonazo .
Dah, kweli sie wengine Jioni imefika enzi zetu za Mwl Nyerere ( 1981-1987 Tabora boys hapakuwa na Tuition kwanza mzazi atapata wapi hiyo pesa!
Sasa hilo ndiyo swali gani?
Wewe unajua watu kama hawa watakuwa wamezeeka na wameshastaafu long time.
Halafu usijifanye ulikuwa bundi fulani enzi za Form Four hadi ujue majina ya hawa Walimu na hata kutaja somo la Chemistry.
Kudaadeki!
Nakuombeaje.life is too short kuwa na hasira Za watu usiowajua .Relax Kama mtu kakuuzi usilete hasira humu .Smile god have something restored for you .pole sana
Sinishani na watu wasio na amani .Hamna lolote.
As amply demonstrated elsewhere humu jukwaani, ni wazi kabisa, tena beyond any reasonable doubt, kwamba your intellectual merits are far less than mediocre, na uwezo wa kuingia Form 5 and 6 Tambaza High School enzi hizo ulkuwa hauna!
Labda ulifika pale sababu ya manuva binafsi za ndugu zako Serikalini.
Pole kwa wivuHamna lolote.
As amply demonstrated elsewhere humu jukwaani, ni wazi kabisa, tena beyond any reasonable doubt, kwamba your intellectual merits are far less than mediocre, na uwezo wa kuingia Form 5 na hatimaye Form 6 Tambaza High School enzi hizo (kama ni kweli) ulkuwa hauna. Period!
Labda ulifika pale sababu ya manuva binafsi za ndugu zako Serikalini.
Sinishani na watu wasio na amani .
Pole kwa wivu
Sasa unatoka na povu la nini .mimi niliosoma Tambaza sio ni Kama big deal .wabongo kwa ugomvi Mimi ndio maana sinaga time na wabongo .hamuwezi kuwa happy .Pole sana .Pole ujipe mwenyewe mkuu!
Sababu unafikiri you can fool everybody, all the time, ilhali track record ya kauli zako humu jukwaani inakuumbua.
Sasa unatoka na povu la nini .mimi niliosoma Tambaza sio ni Kama big deal .wabongo kwa ugomvi Mimi ndio maana sinaga time na wabongo .hamuwezi kuwa happy .Pole sana .
Thank you sirOk, Wewe ndiyo wale mliopewa nafasi kutokana na ufisadi wa wazazi wenu Serikalini.
Lakini ni wazi ulikuwa ukishika mkia tuu enzi zako Tambaza High School ukiwa kama kenge anayefuata msafara wa mamba.
Kudaadeki!
Hey, not so fast bi.tch!Thank you sir
Usinimbie Ndosi alikuwa abusive jesus
.com generation...
Kwa taarifa yako Natalia ni mmoja wa wanawake wachache wa kwanza ilivyoanzishwa Tambaza high school kwa wanawake.Hunijui huyo Mkandawile nimesoma tuition kwake na mama shija jangwani na primary Ndosi .pole sana kwa hasira ulizonazo .
Dah, kweli sie wengine Jioni imefika enzi zetu za Mwl Nyerere ( 1981-1987 Tabora boys hapakuwa na Tuition kwanza mzazi atapata wapi hiyo pesa!
Natalia, basi ulikuja baada ya akina sie kuondoka, nakumbuka mama shija alikua tambaza na akina hawanga, na siku hizo mademu walikua A- level tu, na walikua wazuri kweli akina Idda, Masha, we acha tu
Sie tulikua wazee wa Tanganyika Library na mihogo ya kuchoma pale mbele ya maktaba