Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

Hivi Bado wanafundisha ?

mama shija bado anafundisha lakini umri umeenda sana..ila still class anaingia na chaki tu kupiga pindi...aisee huyu mama ni kichwa...much RESPECT to her
 
Sasa kamanda, mademu as you put it, walikuwa wazuri ama macho yako yalikuwa hayajawazoea?
(tomorrow i will shoot somebody on the head and i dont want an alibi!)
Kamanda... Enzi zile tambaza ilikua ya wagumu kwahiyo ukiona ngozi ya lotion unahisi umeona malaika, pamoja na hayo, macho yangu hayajawahi kunidanganya... At least when it comes to a beauty!!!


...(dont shoot no body, slap on the face will do!)
 

mkuu dental inaelekea siomchezo
 

mie nilikuwa Pugu, so tulikuwa tunaenda mpaka kwake jion anatupigia pindi...i real miss that life...life la pressure pressure za mkanda na kina busanji wake...anakupigia, kijana utapata nini...?ni sheta boy anakusumbua, hapo unakuta umesinzia...ha ha haa...he was areal teacher kwa kweli...
 
Duh! mimi mzee wa Analog (Late 80 Early 90's) namkumbuka sana mwalimu KIMBUNGA - Madenge Primary School huyu ndiye aliyenifundisha HESABU (Tuisheni Tsh 400/= kwa mwezi!!!) hadi nikafaulu -nikachaguliwa kujiunga na Sekondari, sijui yupo wapi?. Alikuwa kichwa darasa la saba lakini mambo alikuwa anafanya makubwa sana by then mnafanya mtihani watu 60 kati yenu 58 wanachaguliwa kwenda Sekondari mainly kazi yake yeye. Shule za jirani anachaguliwa mmoja ama hakuna hata mmoja.
 
nilifundishwa na mkandawile form 6 nikafundishwa na mama shija .... mama shija ni kichwa cha chemistry DAR sijui mkoani ... nitamkumbuka sana huyu mama ... nikirudi tz itabidi nimtafute kama yupo hai inshaAllah ...
 

Punguza matusi papaa wemba na acha kulinganisha vya marekani na Tanzania alafu sio kila mtu anamtindio wa ubongo kama wewe. Kama hukupenda au hupendi wanachoandika wenzio usisome au unawaswa masaburi??
 
Mwl. Ngalawa wa Obay alishafariki siku nyingi.
 

EE bana mmenikumbusha enzi za Mkanda boy. Nakumbuka enzi za tuition pale Mtendeni jamaa alipiga darasa tar 25 na 26 December na darasa likajaa, waliokosa tar 27 akawa anasema ...."Mpunga boy haoniiiii........ akimaanisha wameachwa kwenye topic. jamaa alikua anapiga suti nyekundu kila siku na analetwa na taxi cjui gari yake ile corola........ hahahah pugu boys walikua wanafukuzwa darasani.

Hivi hiki kizazi cha Kawambwa kweli kuna denti wanaothubutu kuacha mpunga home na kwenda tuition siku ya sikukuu?
 



Mkuu nahisi tumesoma pugu kipindi kimoja mana hayo matukio ya kwa MKANDA BOY unanigusa kabisa!!
"Hii kiboko"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…