Chamsingi kufunga nikuacha matendo mabaya nakutenda mema sio kubadili diet.
Kunamaana gani unacha kula mchana huku usiku unafanya uzinzi?!
Kuacha chakula kuendane nakusudio la kuacha maovu kwamajuto kuomboleza na kukiri wazi wazi kuwa ni mkosaji hivyo kusudio lakuacha kula kuwe kama sadaka ya wazi kwa maksudio hayo.