Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

We mwenyewe unayelaumu serikali kwa kila kitu unatoka wapi? Una serikali yako nyingine? Serikali yetu ndiyo hii iliyp madarakani tunatakiwa tuishauri na uzuri inasikiliza na hatuna serikali mbadala.
sasa unasifia kwa kipi ? kukopa sana ?kuajiri ?kutozwa kodi ? tozo ? au nchi yenye kila rasmali bado tunasifia kupata huduma za msingi ni utumwa wa kiakili .
 
mm
Habari wana Jf ,Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita .

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado ina hitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake .

Swali hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni ? au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi ?
hao ni watu waliofanikiwa kimaisha na kuwaona wengine wajinga
 
Tupo wengi tu,
Ila hii tabia imeshamiri sana awamu ya 5 na mbaya zaidi imeambukiza awamu ya 6.
 
sasa unasifia kwa kipi ? kukopa sana ?kuajiri ?kutozwa kodi ? tozo ? au nchi yenye kila rasmali bado tunasifia kupata huduma za msingi ni utumwa wa kiakili .
Kahamia nchi ambayo haikopi. Japan ndiyo nchi ya kwanza kukopa duniani na ni ya tatu kiuchumi, ya pili kwa maendeleo kiviwanda. Katafute nchi inayokufaa usilalamikelalamike mwanaumne na p..bu zako.
 
Njaaa kali
1658247945484.jpg
 
Habari wana Jf ,Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita .

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado ina hitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake .

Swali hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni ? au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi ?
Kwaiyo unataka watu wote wawe mazezeta wakukosoa tuu mwanzo mwisho,

We kosoa sababu mshazoea kudanganywa na jiwe, mama yeye kila kitu kipo wazi, mikopo inachukuliwa kwa uwazi,watumishi wanaboreshewa maslai yao kwa uwazi pia,
We na sukuma gang wenzio subiria mje mjazwe fedha mifukoni na serikali
 
Mleta mada ulitaka tumsifie nani zaidi ya serikali tukufu inayojali wananchi wake kama ya Mama Samia. Watanzania wanaopinga serikali ni wajinga tuu na
Wachawi kama sukuma gang na vichaa MaCHADEMA. ORAITI!?
 
Watanzania wengi hawajawahi kusifia utawala unapokuwa madarakani hata kipindi cha nyerere watu walikosoa. Bi samia kipindi mishahara inaongezwa niliona masifa kibao
 
Habari wana Jf ,Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita .

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado ina hitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake .

Swali hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni ? au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi ?
tupo hapa au mimi ni roboti ila sijajijua

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kahamia nchi ambayo haikopi. Japan ndiyo nchi ya kwanza kukopa duniani na ni ya tatu kiuchumi, ya pili kwa maendeleo kiviwanda. Katafute nchi inayokufaa usilalamikelalamike mwanaumne na p..bu zako.
Tahila huyo na kundi lake
 
Huu ni UPUUZI na mchezo unaosukwa na CCM kuwalipa vijana kumsafisha boss wao mitandaoni
 
Habari wana Jf ,Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita .

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado ina hitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake .

Swali hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni ? au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi ?
Heri wenye moyo safi sijui nini anajua Mathayo
1658293200057.jpg
 
Habari wana Jf ,Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita .

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado ina hitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake .

Swali hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni ? au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi ?
Nimewaza mbali hivi wapiga kura wanatokaga wapi??
 
Wanalipwa hao hawana maana yoyote manake wanasifia mpaka wanapitiliza mwisho tumeshtuka kumbe ni kazi yao.
 
Habari wana Jf ,Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita .

Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado ina hitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi wake .

Swali hivi hawa raia walijaa mitandaoni kusifia sana wanatoka wapi mbona mitaani hatuwaoni ? au ndio wako maofisini wanatafuta teuzi ?
Umkwisha sema kuna ongezeko la mishahara na ajira halafu unashangaa eti wanaosifia Serikali wanatoka wapi? Hebu tuwe wakweli Samia kafanya mengi kuliko mishahara na ajira katika kila sekta. Matatizo ya bei za bidhaa ni suala la kimataifa (global crisis). Hili Lin hata mataifa makubwa kama USA, German, Italy, England nk

Pengine mimi ningebadil kichwa cha mada yako niandike hivi: Je wanaoilaumu Serikali wanao uelewa wa mambo ya uchumi?
 
Baina yetu Watanzania kuna asilimja kubwa saana ya watu wenye tabia za uchawa, achana na hawa wanaowasema kina manara, yule baba levo, wale kina h baba, mwijaku, zile ndio tabia halisi za watz wengi.

Mfano mdogo(level ya chini) subiri upate vifanikio kidogo, utaona wanaanza kukuposti, hata wale ambao hamna uwana huo, au walikuwa hata hampostiani, watanza kukuposti, subiri wagundue tarehe yako ya kuzaliwa, oohh, ishi miaka mingi damu yangj, sijui kimeenda kimerudi. Ama unakuta mtu kamposti mtu anammwagia sifa kedekede lakini kwenye life la mawaida hawa hawana ukaribu huo.

Hivyo usishangae hilo, kwa level ya juu huko, marehemu alikuja kustimyuleti hii tabia, sababu alikuwa anapenda saana sifa, sisemi huko nyuma haikuwepo la hasha, ila kwa mwendazake ilishika kasi.
Umejaribu kuzunguka sana lakini target yako ilikuwa kuja kumshushia mzigo JPM. Hilo la kupenda sifa kwa JPM ni uongo mtupu na wala hakupenda sifa za kijinga au unafiki rejea jinsi alivyomtumbua Kangi Lugola pamoja na kujitahidi kumsifia sana. Angekuwa anapenda sifa angekuwa anapenda sifa asingukuwa anawafursha wazembe na wezi wa Mali za umma. Ila kutokana na utendaji wake sifa zilikuja automatic na hata kama ni wewe unafanya vizuri watu watakusifia na huwezi wazuia watu wasikusifie.

Leo Mama anafanya vizuri sasa hutaki watu wasifie. Ikiwa kama unafanya vibaya watu watakukosoa vivyo hivyo wengine wakifurahiswa na utendaji wako watakusifia hata usipowaambia na hauwezi kuwazuia. Swala la kwamba fulani anapenda sifa ni perception yako tu.
 
hayo mambo ulistahili kupata sio ya kusifu
Unaelewa maana ya kusifu na kumpongeza?

Kwa hiyo wewe ukipewa stahili yako huwa hushukuru?

Hujawahi sikia watu wakipongeza mahakama kwa kutenda haki? Tena Chadomo kabisa?

Kwa nini wasiache kwa maana ni wajibu wa mahakama
 
Back
Top Bottom